Si unamuacha na kina Machaa, kwayu nk wanamfokoa alafu si kijijini tena na wee sehemu ya nauli ya elf .... haifki hata laki .... na baba yko yupoo akishamdunga anakuita njoo nyumbani haraka kuna kitu nataka nikwambie na ukija ni anakuuliza huko mjini vp unafanya nini na kina fulani mnasaidiana nao sasa hapo utalala siku 2 taatu mzigo lzm uuchape muda kidogo mke anamimba unajua si nilienda nimefanya kweli kumbe waapiii baba ako ndio kidumee.