Yaani wewe

Mhhhhhh????nimenuna maana hata kuongozana na mie huwa hautaki leo ngoja nirudi kwetu:banghead::banghead:

Hahahha unamakusudi,yani uondoke na weekend yote hii, na mi huku ntabaki na nan!!! basi tutakua tunaongozana tena nashika kiuno kuanzia mwanzo mpaka mwisho
 
Jamaa anaoekana ana kijela sana. Anavyoangalia kwa masikitiko utadhani kaonewa vile.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…