Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,799
Nyumba bila choo sio nyumba
Nyumba bila choo sio nyumba
Hiyo tabia yakushangaa umeianza lini?
Mwache ashangae huo mzigo si mashara
Hivi eeeeh???mie naona kawaida
FLESH to FLESH!Basi tu.....
Hapa nimepata picha kamili kuhusu wewe. Vile ukijinasibu ni flata kumbe unaogopa pm kujaa kwa application
Utakosa ukuu wa wilaya shauli yako
Hiyo tabia yakushangaa umeianza lini?
...jamaa anaweza akabaka ukuta
...jamaa anaweza akabaka ukuta
ah kwa huo mzigo nsiposhangaa itakua dhambi!!!!
Aaaaah kumbe ndio maana haunishangaagi kisa uflat wangu eeeeh????😕
hahah maflat screen hawajisemi.... we hushangai nakutanguliza mbele tukitembea, maana stress zote zinapotea nkiangalia hapo!!!!