Yaani tunamaliza viti tu ndani.....

Jaribu mkiwa ndani ya maji ni blaahh:love:
...Thanks, Maria Roza nilishajaribu siku moja hiyo mambo yalikuwa bambam. Lakini nahitaji Jakuzi ili zoezi liwe endelevu. Tumeshajadiliana na mdau soon nitakupa mrejesho nyuma!!!
 
Jaribu mkiwa ndani ya maji ni blaahh:love:

.......Na kweli amjaribishe kwenye maji, tena ndani ya bathtubs ni balaa....mkeo kila siku atakuwa anataka mwende kwenye bathtubs mkafanye libeneke......lol!!.Hapa inabidi muwe na maji bwerere ndani ya nyumba yenu.
 
siku nyingine msikalie bali kukishikilia, jikoni ila kama siyo la nje, bafuni, kwenye ngazi!!
 
Duh, kama umefanikiwa kupata huo "udhaifu wake" usiachie mkuu SHIKA SANA ULICHONACHO, ni bonge la bahati, wanawake wa kibongo hawakwambii wanauchuna tu, mzee siku zote pale kwenye kiwanja chako za zamani mpaka jasho linakutoka lakini ilikuwa ni bure tu mtu kauchuna tu, sasa NAFUTA MNINGA WA MAANA , NADHANI HATA BAJETI IKIWA KUBWA NA MAMA AKIPIGA KELELE WE MWAMBIE KWA UPOLE TU KWAMBA UNATENGENEZA KOCHI LA CHUMBANI, NADHANI YEYE NDIO ATAKUWA ANALIFATILIA KWA SEREMALA
 
Hata mkimaliza vyote, shemeji kabahatika kapata mtu anayemkuna zaidi. Kuna wengine hata hilo moja la kitandani hawapati nini kumkuna!!
 
Jaribu mkiwa ndani ya maji ni blaahh:love:

angalia asizae chura , sio nzuri kufanya kwenya maji ilitokea huko korea kusini .
tn

tn
 
Back
Top Bottom