Yaani Trump na Boris wa uingereza wanawapigania waafrika lakini viongozi wa afrika wako kimyaaaa, AU kimyaa, SADC kimyaa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1567705779489.jpg
FB_IMG_1567705775411.jpg
 
Wanafiki tu hao Mabeberu

Mbona hawaku post Beberu Mzee alivyotaka kuteka Ndege yetu ya Air bus ?
 
Huyo Trump ni mnafiki tu labda Boris tumpe muda.

Ila nimejifunza kitu,hawa jamaa wanajua drama na reality.

Huku kwetu kuna watu wamechoma hadi nauli kwenda huko lakini hata tweet tu hamna.
 
Sijui SADC wanawaogopea nini hawa weusi wa Afrika Kusini, wangeitisha mkutano maalumu wa wakuu wa SADC state members na kuwawekea vikwazo vya kiuchumi, waone kama watajiuzia wao wenyewe bidhaa zao. Serikali ya ANC ni dhaifu sana, wanashindwa kuwakumbusha kuwa hata wao waliwahi kuwa wageni kwenye nchi nyingine na tukawapa hifadhi.

Vv
 
Mwenyekiti wa SADC anawachungulia ktk dirisha watu Afrika kusini halafu anawambia Uwiii mwafaa!! Halafu hyoo anaelekea Bungeni kupokea salamu Za pongezi kuwa Mwenyekiti mpyaa wa SADC.
 
Wanafiki tu hao Mabeberu

Mbona hawaku post Beberu Mzee alivyotaka kuteka Ndege yetu ya Air bus ?
Duh uhai wa watu siyo muhimu kama vitu. Unathamini mali kuliko utu law hiyo ni heri watu wauwawe lakini Airbus ipone binadamu wa ajabu kweli wewe. Mali inatafutwa lakini uhai ukiondoka ndiyo basi hauna replacement
 
Back
Top Bottom