Yaani Simba mkijitahidi sana Draw. El Merrekh tunashukuru kwa Ushirikiano wenu. Game tushacheza mpaka sasa

Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo

El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifahamu Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi kuwa wakikosa sana ni pont moja. Ila wamepewa maelezo wakifuata maelezo hata points tano katika match moja wanaweza pata. Ndio ujue mjini hapa.

Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo, ini, figo na mapafu. Simba mnalala na viatu.
Chukua kopo wahi maliwatoni, ndiyo tumeshawapasua sasa.
 
Kumbe hata kitu chizi huwa linaweza kuona aibu, chizi hawezi kutokea hapa, maana si kwa kwa aibu hii.
 
Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo

El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifahamu Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi kuwa wakikosa sana ni pont moja. Ila wamepewa maelezo wakifuata maelezo hata points tano katika match moja wanaweza pata. Ndio ujue mjini hapa.

Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo, ini, figo na mapafu. Simba mnalala na viatu.
Ule mwiko huko nyuma msipouchomoa mtapata tabu sana
 
Ulitumia kikevi gani au ndiyo huo uchizi wa kuzaliwa nao?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom