Yaani Simba mkijitahidi sana Draw. El Merrekh tunashukuru kwa Ushirikiano wenu. Game tushacheza mpaka sasa

Jaman muongozo nataka nicheki mech ya al haly na as vita kwenye simu....naombeni link please.
 
Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo

El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifaham Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi kuwa wakikosa sana ni pont moja. Ila wamepewa maelezo wakifuata maelezo hata points tano katika match moja wanaweza pata. Ndo ujue mjini hapa.

Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo,ini,figo na mapafu. Simba mnalala na viatu.
Unaripoti kutokea wapi?
 
Sema uzuri si tunakulaga tuu uwe demu shoga wote mnaliwa tuuu jinunulie mafuta mapema ili jioni upokee wanaume vizuri.
 
Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo

El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifaham Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi kuwa wakikosa sana ni pont moja. Ila wamepewa maelezo wakifuata maelezo hata points tano katika match moja wanaweza pata. Ndo ujue mjini hapa.

Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo,ini,figo na mapafu. Simba mnalala na viatu.
Hapo mmewazungusha, je msingewazungusha hali ingekuwaje?
 
Haya
 
Kaa na umbea wako
 
Ninachokuomba tu ni kuwa usiutelekeze uzi wako wakati wa mechi na baada ya mechi kama ilivyo kawaida ya utopolo!!

Chizi maarifa njoo hapa usiutelekeze uzi wako kama nilivyokuasa mapema. Maana utopolo kama kina Renzo ndo zao!!
 
Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo

El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifaham Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi kuwa wakikosa sana ni pont moja. Ila wamepewa maelezo wakifuata maelezo hata points tano katika match moja wanaweza pata. Ndo ujue mjini hapa.

Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo,ini,figo na mapafu. Simba mnalala na viatu.
Kamati ya mapokezi, sasa mjiandae kuwapokea AS Vita. Msisahau kuwatembeza tembeza kama kawaida yenu. Kwa maana hiyo kazi ya mapokezi mnaimudu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom