Yaani Kenya ipo desperate na mambo ya Tanzania mpaka inashangaza

Kwani rais MAGUFULI alikuwa anawapa taarifa wa Kenya au wa Tanzania? Mbona wana washwa sana? Nyie endeleeni kupima nanihii mpaka pesa mlizopewa na mabeberu ziishe.
 
Shughulika na BBI wewe.
 
Kila afanyacho lazima wahangaike nacho tena haswa kwa njia hasi. Hamna jema kwao. Hamna jema liwahusulo watanzania.
Wakenya wanamuogopa sana, amewabana na kuwafukia katika kila eneo, njia pekee ya kujiliwaza ni kumpakazia na kumsema vibaya, ila wakenya wengi wanampenda sana, hawa wenye kumchukia ni wale toka upande wa mlima Kenya.
 
Matokeo yake waandishi wanaanza kupunguzwa kazi wanafikiri habari ili iwe nzuri ni kuiponza Tanzania wakati watu wao wanafaidika na Tanzania ndio maana wameacha kununua magazeti.
 
Xi Jiping amesoma nchini Marekani anakijua Kiingereza vizuri still anazungumza Kichina muda wowote na popote pale. Putin vilevile, wanachoshindwa kuelewa ndugu zetu hawa ni kwamba Kiswahili ndo lugha yetu ya taifa ni nembo na alama inayowakilisha taifa na uhuru wetu.

Pia muache kutuaribia lugha yetu adhimu sijui pea yeye, inakuanga vile, ebu kiacheni kiswahili chetu, wasanii wetu wanaoimba kiswahili nyimbo zao zinapendwa kenya kuliko nyimbo zinazoimbwa kwa Kiingereza, mbona waganda hawapendi kujimwambafai kama hawa Wakenya?
 
Magufuli kila anachofanya ni big news Kenya, ata akikohoa lazima iwe ni big news huko Kenya, wanampenda na kumuogopa sana.
Kweli kabisa Magufuli kila anachokifanya Kenya ni habari kubwa sana,yaani Magufuli anafuatiliwa sana Kenya
 
Sikufahamu kama wa kenya kumbe ni mazwazwa kiasi ichi ! Eti ama jisifia reply ya magufuli for your information ... IKULU kuna kitengo cha idara ya habari na maelezo often when necessary they post on behalf of the president
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…