Yaani Hapa Usipocheka Kapime!

Yaani Hapa Usipocheka Kapime!

Joined
Apr 21, 2014
Posts
17
Reaction score
2
Eti Jamaa Mmoja Muongo Kupindukia Halafu Msahaulifu Alikuwa Anastorisha Wenzake Mambo Yakawa Kama Ifuatavyo Jamaa:"wanangu Leo Si Nimekwenda Porini Nikakutana Na Swala Nikamkimbiza Nilipo Mkamata Nikamlaza Chini" Baada Ya Kuongea Hayo Simu Yake Ikaita Na Alipo Maliza Kuongea Na Cm Mambo Yakaendelea Jamaa:"masela Nimeishia Wapi?" Akajibiwa"si Pale Ulipo Mlaza Chini!" Jamaa Akaendelea "nika Mgonga Mpaka Nikapata Goli Tatu Fasta" Masela Wakamuuliza"kwani Si Swala?" Jamaa:"nikamchuna Ngozi Pale Fasta Nikambanika" Masela Wakamuuliza :"bila Ya Kumchinja?" Jamaa Akatahayari Pumbu Juu.
 
Hahah, unatisha mkuu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Eti Jamaa Mmoja Muongo Kupindukia Halafu Msahaulifu Alikuwa Anastorisha Wenzake Mambo Yakawa Kama Ifuatavyo Jamaa:"wanangu Leo Si Nimekwenda Porini Nikakutana Na Swala Nikamkimbiza Nilipo Mkamata Nikamlaza Chini" Baada Ya Kuongea Hayo Simu Yake Ikaita Na Alipo Maliza Kuongea Na Cm Mambo Yakaendelea Jamaa:"masela Nimeishia Wapi?" Akajibiwa"si Pale Ulipo Mlaza Chini!" Jamaa Akaendelea "nika Mgonga Mpaka Nikapata Goli Tatu Fasta" Masela Wakamuuliza"kwani Si Swala?" Jamaa:"nikamchuna Ngozi Pale Fasta Nikambanika" Masela Wakamuuliza :"bila Ya Kumchinja?" Jamaa Akatahayari Pumbu Juu.

Mimi naona wewe ndio ukapime Mkuu.
 
Hata sijacheka nimeishia kukasirika tu.Hebu ngoja nitafute uzi mwingine najuta kupoteza muda wangu hapa.
 
Akapime vvu au. Kuna membetr hapa alisema kupima kwake labda awe amechoma sindano ya usingizi. Pagumu.
 
Eti Jamaa Mmoja Muongo Kupindukia Halafu Msahaulifu Alikuwa Anastorisha Wenzake Mambo Yakawa Kama Ifuatavyo Jamaa:"wanangu Leo Si Nimekwenda Porini Nikakutana Na Swala Nikamkimbiza Nilipo Mkamata Nikamlaza Chini" Baada Ya Kuongea Hayo Simu Yake Ikaita Na Alipo Maliza Kuongea Na Cm Mambo Yakaendelea Jamaa:"masela Nimeishia Wapi?" Akajibiwa"si Pale Ulipo Mlaza Chini!" Jamaa Akaendelea "nika Mgonga Mpaka Nikapata Goli Tatu Fasta"
Ilitakiwa iishie hapo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom