Ukitaka kupata shida Ktk Huu ulimwengu
Mpende mwanamke, na mwanamke ajue kua unampenda. Utapata Tabu sana.
Mwanamke ni Kiumbe Hatari kuliko Hata Nyoka koboko.
Mwanamke na Nyoka ni mtu na Ndugu yake.
Huyo mwanamke anakufanyia hivyo anajua kua unampenda ndomana anakupa mashariti hayo.
We nae unamtafutia sababu tu ya kumuacha, kwani ukimpisha unapatwa na nini?, kwani mwili wake hauujui? Unataka uufahamu Tena Kwa mara nyingine?. Umri wako ndo unakufanya useme haya mkuu. Unafeli.
Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni haki kweli