manywangari jean malonkwa
Senior Member
- Mar 17, 2016
- 193
- 188
Mwaka 1993 pale Burundi ulifanyika uchaguzi ukihusisha vyama vingi kwa mara ya kwanza.Muchuano mkali alikuwa kati ya UPRONA kilichokuwa cha minority Tusi ila majority of the educated people in the Country dhidi ya FRODEBU kilichokuwa cha Majority Hutu bt less educated.
Kama kawaida Merciory Ndandaye from FRODEBU and mojority Hutu aliibuka kidedea. Now the problem came, asilimia 90 ya watumishi katika sector zote ikiwemo jeshi na usalama wa taifa walikuwa from the minority Tusi, kilichomtokea Huyu Rais wote tunajua, he was assassinated in his palace.
Ukiangalia kwenye kijiji chetu wajumbe wengi wa mwenyekiti wetu bwana Kayoga Yohana,wanatoka kwenye less educated regions of our village.
Hivyo wanaongoza vigego ambavyo asilimia kubwa ya watendaji comes from the so called strong regions of our village by fact of being highly educated.
Unapokuwa na wajumbe wa namna hii katika kijiji kinachochojaribu kupambana na ufisadi, upendeleo na rushwa ni rahisi sana kwa wao kuhujumiwa kama alivyohujumiwa the late Merciory Ndandaye.
Pengine hadi yule mjumbe wa kigego cha mali za ndani kuingia kule akiwa amelewa ni matokeo ya frustration za kutosha, kumbukeni hiki ni kigego nyeti sana. Ndio maana mimi naamini sakata la Lukonde lina mambo mengi, kufukuzwa kazi mjumbe huyu pia kuna mambo mengi, iam sure kuna mafias wa kijiji weekend hii watafanya cheers za kutosha kwa ushindi wa Jana.
Ninaamini baada ya huyu, wajumbe wa vigego vya mashambani na viwandani nao watie nywele zao maji maana huku nako kuna mafia wa kutosha tu na kazi yao ni rahisi so long wala wanaoamini wanastahili kuongoza vigego hivi hawatapewa hicho wanachoamini kuwa ni stahili yao.
Just a piece of advice kwa Mwenyekiti wa kijiji chetu hebu wape hao wanaodhani wao pekee ndo wanastahili kuwa wajumbe katika vigego vya kijiji chetu vinginevyo utaendelea kuhujumiwa na kubadilisha wajumbe wa vigego kila siku.