briophyta plantae
Senior Member
- Feb 18, 2017
- 120
- 140
Thamani ya mzazi.
Wazazi ndio kila Kitu.
Wenye wazazi msichoke kuwaenzi! Ni Tunu!
Kwangu Mama alikuwa kila kitu!
Alinipigania kwa njiani zote!
Alintengenezea njia sahihi ya kupita akija itanifikisha kule alipopataka, in her absence, now I enjoy my achievements!
Mipango ya Mungu! She was there in my struggle. Now she is not around to enjoy the fruits of the seeds she planted.
Wasiohusika wa nakula matunda ya My Mama! Dunia!
RIP My Mama!
RIP My Father!

Ahsante Sana.Pole mkuu endelea kuyaenzi waliyokuusia.
Umeadimika humu!Pole mkuu endelea kuyaenzi waliyokuusia.
Thamani ya mzazi.
ππππ"Samani" ya Mama"