ya wadada ambao hawajaolewa

Wanaume hawataki kuoa sio?
  • Yap wanaume yaelekea hawataki kuoa,
  • Huku wanawake wengine wanandamana kuishinikiza serikali ili waolewe, Sio yangu haya piti huu uzi.
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/530673-wanawake-kuishinikiza-serikali-iwasaidie-waolewe.html[/URL]
 
Kina dada wanapenda sana kuolewa shida lipo kwa kina kaka mungu atunusuru! na huu ushetani ulio teka akili!
 
Hao waliofunga ndoa nao ilikuwaje kabla!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...........

Heaven On Earth kwani hii si kama zile katuni za kina Kipanya tu? hata hapo katikati kuna waliofunga ndoa pia. Just enjoy life.
 
Heaven On Earth kwani hii si kama zile katuni za kina Kipanya tu? hata hapo katikati kuna waliofunga ndoa pia. Just enjoy life.

Katuni huwa ina maana behind.....ndio maana nikauliza...

Okay nimekuelewa let me enjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…