mwaka 1992, tulifukuzwa the then ardhi institute baada ya mgomo kuhusu cost-sharing, mgomo huu ndo huo huo ulimwondoa mbatia pale udsm.
kabla ya kurudishwa tuliambiwa turipoti kwa wakuu kuanzia kijijini,wilaya na hata mkoani, kuandika barua kuwa hatutagoma tena, samwel sita alikuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro, akatoa maagizo turipoti kwake in person, tulipoenda ofisini kwake akatuambia hiyo story ila hakusema alinyukwa viboko. baadaye akataka tunyukwe na sisi viboko tukamkatalia