Ya Spika Sitta na Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Spika Sitta na Nyerere

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Calnde, Oct 10, 2008.

 1. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Katika pitapita yangu nimeipata hii nikaona si vibaya nikaiweka though inawezekana mnaifahamu.Kwamba in 1960's Sitta na Mwenzake waliongoza mgomo pale UDSM na kusababisha Nyerere kufukuza wanachuo.Baadae walirudishwa kutokana na mipango ya menejiment ya chuo Lakini Nyerere alikuwa mgumu kumruhusu Sitta kurejea masomoni.Hata hivyo Baadae alirejeshwa chuoni kwa masharti ya kuchapwa viboko na Mwalimu mwenyewe.(mind you at that time he wa Mr President)
  Je hawa watu wengi waliopitia UDSM na sasa ni maarufu Tanzania na duniani wanafanyaje kuinua elimu yetu?
   
 2. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  What a fascinating story, did he actually chapa him? Kuna mtu anaweza kutuulizia through yule mtoto wake?alikuwa anafanya kazi kampuni flani inayotoa huduma ya kupata matokeo ya mitihani via sms. Mwalimu bwana!chapa a young man just like so?
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145


  Mkuu hapa unaongea kwa kujinafasi na uhuru tele na hakuna atakaye kuogofya hata kidogo taja basi jina la huyo mtoto na hiyo kampuni yake tupate fahamu.
   
 4. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  simjui jina, 4got the company's name watu wa darislam watakua wanamjua. Huku tabora hawamjui jina. How is castro by the way?
   
 5. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nimefuatilia swala hili kwa baadhi ya watu ninaaowaamini wamekiri kweli.Sijui kama amewahi waeleza wanae na familia yake.Mbona hata mwalimu mwenyewe nimewahi kusikia kuwa aliwahikugoma akiwa Tabora Boys ya enzi hizo?Tena na nasikia alitoroka akakamatiwa stesheni mwanza!
   
 6. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ulitegemea wafanye nini Mkuu kwa sababu wameshasahau walikotoka na hata hawapajui wanapoelekea?Wamekuwa wachoyo na wamesahau yale yote aliyowafanyia Mwalimu kwa sababu wao walikula na kunywa bure na hata kusoma bure ila leo hii watazuia matokeo ya yatima coz ameshindwa kulipa ada yake!
  They are irresponsible and self minded!
   
 7. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo ndo wanazidi kuniudhi.I suggests wote waliopata Elimu ya mwalimu bure na sasa wana nafasi njuri wakae kuona namna watakavyounda sera safi ya Elimu inayoeleweka.We cant go on with this mess
   
 8. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,276
  Likes Received: 4,261
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo 6 alipewa bakora na Mwalimu mbele za watu
   
 9. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  mwaka 1992, tulifukuzwa the then ardhi institute baada ya mgomo kuhusu cost-sharing, mgomo huu ndo huo huo ulimwondoa mbatia pale udsm.

  kabla ya kurudishwa tuliambiwa turipoti kwa wakuu kuanzia kijijini,wilaya na hata mkoani, kuandika barua kuwa hatutagoma tena, samwel sita alikuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro, akatoa maagizo turipoti kwake in person, tulipoenda ofisini kwake akatuambia hiyo story ila hakusema alinyukwa viboko. baadaye akataka tunyukwe na sisi viboko tukamkatalia
   
 10. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  He must have been shit embarassed to admit that alinyukwa!Probably thats the reason he also suggested a similar thing to you guys!
   
 11. bokassa

  bokassa JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2008
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inaonekana, tatizo la kuwa mgumu wa kuelewa alianza nalo tangia wakati huo!!!!!!.
   
 12. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  I dont think so.Probably alikuwa mjanja wa kufikiri na kutokukubali kuburutwa.
   
Loading...