Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,156
- 7,697
Huko kanda ya Ziwa wameshasema asiposimama Zitto Chadema haipati kitu!
Nilikuwa Shinyanga juzi juzi naongea na wakereketwa wa Chadema mitaa ya majengo wamenipa hii habari.
Moi ni kwasababu alikuwa Makamu wa RAIS... haukumbuki JINSI JOMO KENYATTA alivyosafirishwa Usiku usiku kufia MOMBASA, MOI alikuwa hakui isipokuwa Wakikuyu kina SAITOTI na JAJI MKUU walikuwa upande wake... Walikuwa hawamtaki CHARLES NJONJO awe Rais wa KENYA... ndipo hapo MOI akasalimika lakini angalia Makamu wake wote ni Wakikuyu na alimpa kanu UHURU KENYATTA... ndio yeye aliyemuingiza kwenye SIASA akiwa na Miaka 32... PAY BACK is HEALTHY eh!!!
Na wakati Kenyata anakufa Saitoti alikuwa akifundisha hisabati chuo kikuu cha Nairobi hakuwa mwanasiasa, Uhuru Kenyata aligombea ubunge wa Gatundu Kusini 1997 akiwa na umri wa miaka 36 akashindwa, alikuja kuteukiwa ubunge na Moi 2001 akiwa na umri wa miaka 40! na baadaye uwaziri. Ya kusimuliwa hupotosha
Moi ni kwasababu alikuwa Makamu wa RAIS... haukumbuki JINSI JOMO KENYATTA alivyosafirishwa Usiku usiku kufia MOMBASA, MOI alikuwa hakui isipokuwa Wakikuyu kina SAITOTI na JAJI MKUU walikuwa upande wake... Walikuwa hawamtaki CHARLES NJONJO awe Rais wa KENYA... ndipo hapo MOI akasalimika lakini angalia Makamu wake wote ni Wakikuyu na alimpa kanu UHURU KENYATTA... ndio yeye aliyemuingiza kwenye SIASA akiwa na Miaka 32... PAY BACK is HEALTHY eh!!!
Saitoti hakuwa mkikuyu alikuwa mmasai, Njonjo hakuwa na nafasi ya kuwa rais maana alikuwa mwanasheria mkuu tu wala hakuwa waziri ingekuwa ajabu mshauri tu wa kisheria wa baraza la mawaziri awe rais wakati kulikuwa na wanasiasa kibao wakikuyu km KIBAKI, Njenga Karume nk. Makamu wa rais Moi ni Mwai kibaki mkikuyu, Josephat Karanja mkikuyu, George Saitoti mmasai na Musalia Moses Mudavadi Mluya hivyo si kweli kuwa makamu wa Moi wote walikuwa wakikuyu. Umeandika uongo mwingi katikatiya ukweli mdogo
shibuda na momose cheyo wana ushawishi sana usukumani hasa maswa na bariadi,huo ndo ukweli.
Hata kura moja tuilinde kwa nguvu zoteChange nae anakura ngapi?
Napenda kueleza kuwa mimi ni mfuatiliaji sana wa siasa za Kenya. Namshangaa Odinga kulalamika kuwa amedhulumiwa kwenye uchaguzi, anabishana na ukweli. Ukweli ni kwamba siku alipogombana na Ruto ndipo siku alipopoteza urais. Ruto ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa kule bonde la ufa ambalo linakaribia wapiga kura asilimia 30. Huwezi kupoteza rift valley ukawa rais kenya. Odinga alishindwa kumvumilia Ruto ambaye ni a very controversial politician.
Hali hii ya kushindwa kuwavumilia wanasiasa 'controversial" ndani ya chadema itakigharimu sana chama kama ilivyoigharimu ODM. Nimesomo mahali eti chadema bado wanakazania kumfukuza Shibuda. Nina ushahidi pamoja na kwamba hardliners watanipuuza kuwa Shibuda ana ushawishi sana usukumani ambayo inawapiga kura wengi. Hii inatokana na ujasiri wake wa kuwatetea wakulima wa pamba na wafugaji kwa muda mrefu. Lakini Shibuda anazifahamu sana fitna za kisiasa hasa za usukumani. Waulize CCM wanamfahamu, maana hata pamoja na kumfanyia visa vingi, alishinda Maswa kwa kishindo na kupata pia madiwani wengi. Ni ukweli pia kuwa baada ya Chadema kukosana na Shibuda ushawishi wa Chadema kwa Wasukuma umepungua, nina ushahidi, fuatilia hata uchaguzi wa madiwani uliopita.
MI NAONA CDM WAMEMPA UVUMILIVU WA KUTOSHA SANA BUT TUKUMBUKE HATA KUMPA CHANCE YA KUGOMBEA UBUNGE MBOWE ALICHEZA DUME KARATA NA KUMUACHA AIMBE MASHAIRI YA TAARABU SIO MBAYA TUSUBILI 2015 WASUKUMA SIO MASWA TU. KUNA MWANZA,SHY AND TBR
you syjNapenda kueleza kuwa mimi ni mfuatiliaji sana wa siasa za Kenya. Namshangaa Odinga kulalamika kuwa amedhulumiwa kwenye uchaguzi, anabishana na ukweli. Ukweli ni kwamba siku alipogombana na Ruto ndipo siku alipopoteza urais. Ruto ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa kule bonde la ufa ambalo linakaribia wapiga kura asilimia 30. Huwezi kupoteza rift valley ukawa rais kenya. Odinga alishindwa kumvumilia Ruto ambaye ni a very controversial politician.
Hali hii ya kushindwa kuwavumilia wanasiasa 'controversial" ndani ya chadema itakigharimu sana chama kama ilivyoigharimu ODM. Nimesomo mahali eti chadema bado wanakazania kumfukuza Shibuda. Nina ushahidi pamoja na kwamba hardliners watanipuuza kuwa Shibuda ana ushawishi sana usukumani ambayo inawapiga kura wengi. Hii inatokana na ujasiri wake wa kuwatetea wakulima wa pamba na wafugaji kwa muda mrefu. Lakini Shibuda anazifahamu sana fitna za kisiasa hasa za usukumani. Waulize CCM wanamfahamu, maana hata pamoja na kumfanyia visa vingi, alishinda Maswa kwa kishindo na kupata pia madiwani wengi. Ni ukweli pia kuwa baada ya Chadema kukosana na Shibuda ushawishi wa Chadema kwa Wasukuma umepungua, nina ushahidi, fuatilia hata uchaguzi wa madiwani uliopita.
MI NAONA CDM WAMEMPA UVUMILIVU WA KUTOSHA SANA BUT TUKUMBUKE HATA KUMPA CHANCE YA KUGOMBEA UBUNGE MBOWE ALICHEZA DUME KARATA NA KUMUACHA AIMBE MASHAIRI YA TAARABU MBAYA TUSUBILI 2015 WASUKUMA SIO MASWA TU. KUNA MWANZA,SHY AND TBR