Ya moto bendi

Kumbe ndio wewe!?sasa mbona huku unatumia jina baya tofauti na muonekano wako?
 
Ila hawalitendei haki jina lao, wanajiita band halafu wanapiga playback. Nimewaona kama mara mbili No gita, no kinanda, no ngoma.
 
Mi siwapendi wameniharibia watoto wangu siku hiz wanaimba ule wimbo NISEME NISISEME
 
Hiyo ni namna ya uchanganyaji picha, inakufanya kuurudia tena na tena kuuangalia ili umuone vizuri.
 
NGoja tuongee na mzalendo andrew chenge aliweke hili kwenye ile katiba yake
 
Mi siwapendi wameniharibia watoto wangu siku hiz wanaimba ule wimbo NISEME NISISEME

Pole sana ukirudi kazini wanaanza kuimba mama kafanya hivi hahahhha hawana adabu hawa watoto wa yamoyo band ila mimi wananifurahisha
 
Washamba pamba zao utafikiri wametoka chalinze kwa mguu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…