kupanga ni kuchagua kipi kianze na kipi kisubiriKwa Miaka Kumi Wananchi Hawana Maji Vijijini Huduma Za Afya Vijijini Za Hovyo Tu Miundombinu Sehemu Nyingi Alikuwa Mpigaji Kama Wapigaji Wengne Elimu Yenyewe Magumashi Wanafunzi Kaacha Wanakaa Chini Madarasa Hovyo Kwenye Uongozi Wake Nampa 40% Ndiyo Aliweza Mengine Yalimshinda Siku Yakitimizwa Haya 1 Maji Nchi Nzima Umeme Uhakika Afya Miundo Mbinu Elimu Kilimo N K
Kwa Miaka Kumi Wananchi Hawana Maji Vijijini Huduma Za Afya Vijijini Za Hovyo Tu Miundombinu Sehemu Nyingi Alikuwa Mpigaji Kama Wapigaji Wengne Elimu Yenyewe Magumashi Wanafunzi Kaacha Wanakaa Chini Madarasa Hovyo Kwenye Uongozi Wake Nampa 40% Ndiyo Aliweza Mengine Yalimshinda Siku Yakitimizwa Haya 1 Maji Nchi Nzima Umeme Uhakika Afya Miundo Mbinu Elimu Kilimo N K

Ajira kwa wahitimu wengi.Nyongeza ya mshahara kila mwaka kama sheria inavyosema.Mimi ninamkubuka sana Rais mstahafu Mh. Jakaya kwa mambo mazuri kumi (10) yafuatayo:
1. ustawi wa demokrasia
2. Barabara nyingi
3. Madaraja marefu yaliyoshindikana kule Kigamboni, Msata na Malagalasy
4. Jakaya Kikwete Hospitali ya Moyo
5. Mwendo kasi
6. Nyumba za wanajeshi
7. Gesi ya Mtwara
8. Upanuaji wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
9. Ndoto ya ujenzi wa flyovers Dar es Salaam.
10. Vikoba
Je, wewe unamkumbuka kwa mazuri yapi?