Ya Kikwete Nyerere alishayaona tukakaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Kikwete Nyerere alishayaona tukakaidi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kibajaj, Jul 19, 2011.

 1. k

  kibajaj Senior Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati Malecela alipopitishwa na kamati kuu ya CCM kuwa mgombea wa urais mwaka 1985 Nyerere alisema hivi CCM siyo mama yangu kama huyu ndiye mliyemchagua kugombea urais kadi yenu ya uanachama hii hapa. Mwalimu alisema hivi akiwa na maana kamili. 1995 Ndugu Jajkaya aliibuka mshindi dhidi ya Mkapa mwalimu akakataa japo ilitumia kigezo cha kuwa kikwete alikuwa hajakomaa kisiasa laikini alikuwa anajua kuwa kijana huyu asingeweza kuingoza nchi. Miaka kumi baadaye tumekaidi yule ambaye mwalimu alimkata tukamwona anafaa tukampa madaraka na sasa tumekalia kaa la moto. Ameshindwa kabisa hata kutuonyesha tu msimamo wake nchi ikiwa na matatizo dharura zinapatikana Juzi Tarime kulifuka Moshi hakuwepo nchini. Leo tena hayupo katibu mkuu anahonga wabunge bilion moja eti ili bajeti ya kijinga kishenzi na isiyo na maslahi kwa taifa ipitishwe? Kwa kweli mimi nina wasiwasi sana kama huyu jamaa atamaaliza miaka minne iliyobaki na akilmaliza basi tunaweza tukabadilisha jina la nchi yetu.siku zote ukisema ukweli unaitwa mpinzani lakini siku wapinzani wakishika nchi hii kuna watu hawataruhusiwa japo hata juzikwa katika aridhi ya chi hii.
   
Loading...