sihitaji kwenda kule ili niyajue, msemaji wao aende basi hata BBC, DW, Al Jazeera, CNN, n.k. akaseme nini ndiyo madai yao kule. Lakini kuua kimyakimya haitawasaidia hata kidogo. Hata Wataliban, ISIS, Al shabab, Tamil Tigers, Hamas, n.k dunia inafahamu wanataka nini. Hata wapiganaji wa Maji Maji na MAU MAU waliweka wazi malengo yao, hawa ni wahuni tu.Mkuu fika MKIRU uyaongee hayo kwenye jukwaa, waambie waje mzungumze kisha utatupa mrejesho..
Sasa wakiua waziwazi ndio itawasaidia nini?sihitaji kwenda kule ili niyajue, msemaji wao aende basi hata BBC, DW, Al Jazeera, CNN, n.k. akaseme nini ndiyo madai yao kule. Lakini kuua kimyakimya haitawasaidia hata kidogo.
Hujui lengo lao usiseme kuwa haiwasaidii huwezi kujua labda kuuua ndio malengo yakosihitaji kwenda kule ili niyajue, msemaji wao aende basi hata BBC, DW, Al Jazeera, CNN, n.k. akaseme nini ndiyo madai yao kule. Lakini kuua kimyakimya haitawasaidia hata kidogo.
Hili nalo ni la kusubiri mtu akwambie? Dhulma wanayofanya askari huioni mkuu? wanaua watu wapiga walemavu nk hapo vip?Hayo unayasema wewe, nani kakwambia kuwa ni hivyo?
Hao Masheikh wamesema hivyo? wapi? wanadai nini? Kwani Masheikh wako Kibiti tu?
whoever says so
Naamini mrejesho atauleta akiwa kuzimu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu fika MKIRU uyaongee hayo kwenye jukwaa, waambie waje mzungumze kisha utatupa mrejesho..
Jamaa wanaenda staili za kichawi, ila nahisi kuna kitu nyuma ya pazia, jamaa huenda wanatarget yao na pia wahusika labda wanafaham, badala ya wao kutamka wanasubiri wahusika wajiseme wenyewe..sihitaji kwenda kule ili niyajue, msemaji wao aende basi hata BBC, DW, Al Jazeera, CNN, n.k. akaseme nini ndiyo madai yao kule. Lakini kuua kimyakimya haitawasaidia hata kidogo. Hata Wataliban, ISIS, Al shabab, Tamil Tigers, Hamas, n.k dunia inafahamu wanataka nini. Hata wapiganaji wa Maji Maji na MAU MAU waliweka wazi malengo yao, hawa ni wahuni tu.
Hatari.. Jamaa wapo kimya kimyaNaamini mrejesho atauleta akiwa kuzimu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]