Ya Dunia ni Mengi sana!

Unapokula chakula kwa muda wa dk 15 kwa mbwembwe, kuna maelfu ya watu wanakufa kwa kukosa chakula.
Ukitaka kujua shinda ya mwenye njaa, angalia raha ya aliyeshiba.
Mungu tuepushe na anasa za dunia hii.
 
Inasemekana huyo mzungu alimchukua kumlea huyo mtoto, wanasema amekuwa na ana afya nzuri sana!
 
uwezi kuamini uyo mtoto alichukuliwa na huyo mwana mama picha yake ya kipindi hiki, daah! amebadilika amekuwa mweupe uwezi amini
hakuna mtu mbaya duniani matatizo tu haya tuharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…