Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,797
- 165,543
Huu ni ujumbe kwa wapiga kura na watanzania wanaotafuta vyama vya kujiunga navyo baina ya CHADEMA na CCM.
Ukichagua ufisadi,wizi,ubadhirifu,uonevu,mauaji ya rai,kutozwa kodi za line ya simu n.k basi rafiki yako ni Kaisari anaefanana na CCM na hivyo unapaswa kuchagua CCM.
Lakini kama wewe ni mtu wa kutetea wanyonge,kupinga dhuluma,uonevu,wizi,ufisadi na hata kupinga kodi ambazo ni mzigo kwa mwananchi hakika wewe ni kipenzi cha mungu na hivyo unastahili kuwa upande wa CHADEMA.
Tafakari ndugu!

Tuhuma hizi kwa CHADEMA hazina mashiko.unajua kuwa chadema ndiyo vinara wa wizi mfano wanagawana ruzuku za chama,kuiba pesa kanisani,kujikopesha pesa za chama bila kulipa.
Huu ni ujumbe kwa wapiga kura na watanzania wanaotafuta vyama vya kujiunga navyo baina ya CHADEMA na CCM.
Ukichagua ufisadi,wizi,ubadhirifu,uonevu,mauaji ya rai,kutozwa kodi za line ya simu,PAYE kandamizi, n.k basi rafiki yako ni Kaisari anaefanana na CCM na hivyo unapaswa kuchagua CCM.
Lakini kama wewe ni mtu wa kutetea wanyonge,kupinga dhuluma,uonevu,wizi,ufisadi na hata kupinga kodi ambazo ni mzigo kwa mwananchi hakika wewe ni kipenzi cha mungu na hivyo unastahili kuwa upande wa CHADEMA.
Tafakari ndugu!
Salam kwa henry kileo, ben sa8 na lwakatare, wazee wa sumu na tindikaliTuhuma hizi kwa CHADEMA hazina mashiko.
CCM ni nduguze Kaisari.
CHADEMA ipi unaizungumzia? Kama ni ya akina Zito, sawa. Ila kama ni ya akina Mbowe, Lema na Slaa utakuwa umekosea sanaTuhuma hizi kwa CHADEMA hazina mashiko.
CCM ni nduguze Kaisari.
chadema ndiyo kimbilio letu,ccm haina mashiko na wala haina huruma kwa wananchi wake zaidi ya viongozi wake,chadema hajawahi kujinufaisha na rasilimali za taifa hili tangu kuanzishwa kwake ila ccm toka kuanzishwa kwake mpk leo hii WANANUFAIKA NA RASILIMALI ZA TAIFA HILI BILA AIBU
CHADEMA wizi wenu ni NEXT LEVEL, hamuachi kitu, mpaka wake za watu!
CHADEMA ipi unaizungumzia? Kama ni ya akina Zito, sawa. Ila kama ni ya akina Mbowe, Lema na Slaa utakuwa umekosea sana[/QUOTE
CHADEMA NI MOJA TU NA ITAKUA MOJA DAIMA.
unajua kuwa chadema ndiyo vinara wa wizi mfano wanagawana ruzuku za chama,kuiba pesa kanisani,kujikopesha pesa za chama bila kulipa.