Ya CHADEMA mpe Mungu na ya Kaisari mpe CCM

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,198
Reaction score
162,745
Huu ni ujumbe kwa wapiga kura na watanzania wanaotafuta vyama vya kujiunga navyo baina ya CHADEMA na CCM.

Ukichagua ufisadi,wizi,ubadhirifu,uonevu,mauaji ya rai,kutozwa kodi za line ya simu,PAYE kandamizi, n.k basi rafiki yako ni Kaisari anaefanana na CCM na hivyo unapaswa kuchagua CCM.

Lakini kama wewe ni mtu wa kutetea wanyonge,kupinga dhuluma,uonevu,wizi,ufisadi na hata kupinga kodi ambazo ni mzigo kwa mwananchi hakika wewe ni kipenzi cha mungu na hivyo unastahili kuwa upande wa CHADEMA.

Tafakari ndugu!
 
Naona Salary Slip umeufyata mkia. au wewe ndo miongoni mwa wafuasi wa Zitto ambao wametishiwa kufukuzwa?
 
chadema ndiyo kimbilio letu,ccm haina mashiko na wala haina huruma kwa wananchi wake zaidi ya viongozi wake,chadema hajawahi kujinufaisha na rasilimali za taifa hili tangu kuanzishwa kwake ila ccm toka kuanzishwa kwake mpk leo hii WANANUFAIKA NA RASILIMALI ZA TAIFA HILI BILA AIBU
 
Ukichagua ufisadi,wizi,ubadhirifu,uonevu,mauaji ya rai,kutozwa kodi za line ya simu n.k basi rafiki yako ni Kaisari anaefanana na CCM na hivyo unapaswa kuchagua CCM.

what a lovely heading!!!!!!
 
chama kizee & fikra za ki-analogia cha nini?
 
Huu ni ujumbe kwa wapiga kura na watanzania wanaotafuta vyama vya kujiunga navyo baina ya CHADEMA na CCM.

Ukichagua ufisadi,wizi,ubadhirifu,uonevu,mauaji ya rai,kutozwa kodi za line ya simu n.k basi rafiki yako ni Kaisari anaefanana na CCM na hivyo unapaswa kuchagua CCM.

Lakini kama wewe ni mtu wa kutetea wanyonge,kupinga dhuluma,uonevu,wizi,ufisadi na hata kupinga kodi ambazo ni mzigo kwa mwananchi hakika wewe ni kipenzi cha mungu na hivyo unastahili kuwa upande wa CHADEMA.

Tafakari ndugu!

unajua kuwa chadema ndiyo vinara wa wizi mfano wanagawana ruzuku za chama,kuiba pesa kanisani,kujikopesha pesa za chama bila kulipa.
 
Una wewe matatizo ya kufikiri wewe si bure!! hivi wanayoyafanya akina slaa,mbowe,lema,sugu,na msigwa ni ya mungu? kama jibu ndio basi kuna mungu wanaemwakilisha lakini mungu wa mbinguni, na kwa taarifa yako wanasiasa wote ni washirikina tu na wanaamini ktk huo na unapotoa sifa kama hizo unakuwa unakufuru ndugu yangu! au unasema msiwe mnapima ukweli kwa kuwatazama watu machoni, au na wewe ni waufipa kama wale wa lumumba ambao nasikia mnapewa buku saba?
 
unajua kuwa chadema ndiyo vinara wa wizi mfano wanagawana ruzuku za chama,kuiba pesa kanisani,kujikopesha pesa za chama bila kulipa.
Tuhuma hizi kwa CHADEMA hazina mashiko.

CCM ni nduguze Kaisari.
 
Huu ni ujumbe kwa wapiga kura na watanzania wanaotafuta vyama vya kujiunga navyo baina ya CHADEMA na CCM.

Ukichagua ufisadi,wizi,ubadhirifu,uonevu,mauaji ya rai,kutozwa kodi za line ya simu,PAYE kandamizi, n.k basi rafiki yako ni Kaisari anaefanana na CCM na hivyo unapaswa kuchagua CCM.

Lakini kama wewe ni mtu wa kutetea wanyonge,kupinga dhuluma,uonevu,wizi,ufisadi na hata kupinga kodi ambazo ni mzigo kwa mwananchi hakika wewe ni kipenzi cha mungu na hivyo unastahili kuwa upande wa CHADEMA.

Tafakari ndugu!

Vipi kuhusu kumwagia watu tindikali, kulisha watu sumu, kujilipua mabomu na kulegeza nati za tairi za magari ya watu??
 
Naona Salary Slip umeufyata mkia. au wewe ndo miongoni mwa wafuasi wa Zitto ambao wametishiwa kufukuzwa?
 
chadema ndiyo kimbilio letu,ccm haina mashiko na wala haina huruma kwa wananchi wake zaidi ya viongozi wake,chadema hajawahi kujinufaisha na rasilimali za taifa hili tangu kuanzishwa kwake ila ccm toka kuanzishwa kwake mpk leo hii WANANUFAIKA NA RASILIMALI ZA TAIFA HILI BILA AIBU

CHADEMA wizi wenu ni NEXT LEVEL, hamuachi kitu, mpaka wake za watu!
 
Mh hapo pa wake za watu pananikumbusha jinsi kigogo mmoja wa chadema alivyopora wake za watu kwa nyakati tofauti na kuzaa nao watoto kama alivyofanya mchungaji Mwingira
 
Kichwa cha habari kimejaa KUFURU na DHIHAKA KUU Dhidi ya Mungu wa mbinguni!
 
KADA MAARUFU WA CHADEMA ATIWA MBARONI KWA KOSA LA KUMMWAGIA TINDIKALI USONI KADA WA CCM WAKATI WA UCHAGUZI WA IGUNGA

MUSA TESHA BAADA YA KUMWAGIWA TINDIKALI

Kada maarufu wa CHADEMA Shinyanga mjini,Bwana Oscar Kaijage,Jumamosi alikamatwa na askari polisi na kuzuiwa kituo cha kati na jana Jumatatu alisafirishwa kwenda Tabora na kukabidhiwa kwa askari wa huko.

Sababu kuu ya kukamatwa,ni kuhusishwa na tukio la kumwagiwa tindikali Bwana Musa Tesha 9 Sept,2011 huko Igunga kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa Mbunge ambapo mgombea wa CCM bwana Peter Kafumu alimshinda mgombea wa CHADEMA bwana Joseph Kashinde.

Bwana Oscar alifuatwa dukani kwake stand ya mabasi ya Shinyanga mjini mnamo saa 9 mchana na askari nane ambao hawakuvaa sare.

Baada ya mazungumzo ya muda mfupi askari hao waliwaomba majirani wa duka hilo wasogee ili wawe mashuhuda wakati wanampekua.

Hata hivyo,polisi hao hawakukuta kitu chochote walichokihitaji na kuamua kuondoka naye kwenda kumpekua nyumbani kwake ambako nako pia hawakuambulia kitu.

Taarifa iliyopatikana jana mchana kutoka ofisi ya RPC shinyanga ni kuwa Oscar amepelekwa Tabora kwenda kufunguliwa mashitaka.
 
CHADEMA yatosha Ccm ni kupoteza muda tu,kwani ni chama cha kizee na sera za kizee,hamia CHADEMA digitali la ukweeeeli,na mlioko ccm mnaganga njaaa tu but ukweli mnaufahamu
 
Back
Top Bottom