Ya bungeni nini matarajio

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,748
Wapo wabunge wataingia kuhubiri dini huku bibilia huku quruan
Sijui wanakumbusha inapobidi kukumbusha au ndo sera za majibo watokayo
Pia tutegemee watakao jikita kitaifa zaidi kuliko kujikita kutete jimbo atokalo
Haho wabunge wa namana hii watasaidia au?
 
Back
Top Bottom