Ya BASATA na Shilole

Tukiachilia mbali matukio yake mengi yasiyo na staha katika majukwaa.. Ikiwemo fiesta na coco n.k.

Clip zake alizorekodi baada ya kufungiwa ni dhahiri hata adhabu aliyopewa haimtoshi. .. Huwezi kuzungumza kwa dharau na ujinga wa namna ile dhidi ya serikali.. Huu ni mfano ili na wengine wajifunze kupitia yeye..

Kila kazi ina miiko yake na ni muhimu kuzingatia
 
I agree with u, heavy fine could be better rather than total ban for 1yr.
 

Kweli asamehewe
 
Wangempiga faini tu,lkni kumfungia mwaka asifanye mziki ni kumkomoa kabisa ,sio haki,binafsi mimi napenda haki itendeke hapo hawaja mtendea haki,mziki ni kazi yake ataishi vipi?wanataka aanze kuuza K....wakati alisema kuuza K...basi.
 
Unapoambiwa usivae ovyo.. Wewe ukavaa ovyo.. Ukajifanya wewe ni mjuaji zaidi.. Wewe imara zaidi.. Utafungiwa tu, eeeh maana lazima tukubaliane BASATA itaongozwa kwa misingi ya sheria ( in Pinda's voice)

Maana hakuna namna nyingine
 
Watu kama nyie..
Hivi mwanao akifanya hivyo au dada yako aoneshe malapa mbele za watu tena watu sehemu tofaui wazione utajisikiaje
 
BASATA iliwalea lea sana hawa wasanii ndo maana wanachukuliaga poa, sasa inatakiwa isimamie maadili kikweli kweli kama inavyotakiwa kisheria
 
Na wengine wajifunze, mziki unaimbika na kuchezeka hata ukiwa umevaa nguo sio lazima wakae uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…