Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,322
Unatetea maovu?mungu hayupo pamoja na waovu
Unapoambiwa usivae ovyo.. Wewe ukavaa ovyo.. Ukajifanya wewe ni mjuaji zaidi.. Wewe imara zaidi.. Utafungiwa tu, eeeh maana lazima tukubaliane BASATA itaongozwa kwa misingi ya sheria ( in Pinda's voice)
Unapoambiwa usivae ovyo.. Wewe ukavaa ovyo.. Ukajifanya wewe ni mjuaji zaidi.. Wewe imara zaidi.. Utafungiwa tu, eeeh maana lazima tukubaliane BASATA itaongozwa kwa misingi ya sheria ( in Pinda's voice)
Kwanini wasingefanya faini badala ya kumfungia ??????????????
Pindi alivyoitwa na BASATA kujieleza ,mngempa ushauri wa kwenda kujitetea.Alipoitwa mkakaa kimya bila kumshauri aende kwenye baraza ,leo baraza limefata kanuni zake ndio mnajitokeza kumuonea huruma.Usivunje sheria ya nchi kisa mwingine mbona anavunja.
Mkuu naamini angeenda pale alivyoitwa ,adhabu isingekuwa kubwa hivyo maana angeweza kujitetea na wao pengine wangeelewa baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwake.Hii adhabu waliyompa nadhani imeongezeka kwa kudharau chombo ambacho kipo kwa mujibu wa sheria.Siku zote uitwapo kwenye shauri unatakiwa utekeleze wito wao.Ni kweli kosa halihalalishi kosa. Lakini jamii kuwa na watu walio juu ya sheria na wengine walio chini ya sheria si jambo lenye afya kwa jamii husika. Kikubwa ninachojiuliza hivi kile alichofanya "Shishi baby" kimemuumiza nani ktk jamii na Taifa kwa ujumla? Au ndio kuua mbu kwa gobole.?