BASIASI JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 9,732 Reaction score 5,011 Aug 25, 2013 #1 Mola tusaidie ulakucha mae kanyi Attachments grt4.jpg 13.9 KB · Views: 140
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,688 Aug 25, 2013 #2 Ni kweli kabisa uyasemayo hata nami nakubaliana nawe....
I innocent salehe Member Joined Aug 14, 2013 Posts 19 Reaction score 4 Aug 26, 2013 #3 yeah ni kweli ndugu lkn mwenyezi mungu s.w.a hawez kukuepusha kama we mwenyewe binafsi hujisaliii
CHAMVIGA JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 7,687 Reaction score 2,240 Aug 26, 2013 #4 innocent salehe said: yeah ni kweli ndugu lkn mwenyezi mungu s.w.a hawez kukuepusha kama we mwenyewe binafsi hujisaliii Click to expand... Wewe Mwenyezi Mungu sio s.a.w bali ni s.w
innocent salehe said: yeah ni kweli ndugu lkn mwenyezi mungu s.w.a hawez kukuepusha kama we mwenyewe binafsi hujisaliii Click to expand... Wewe Mwenyezi Mungu sio s.a.w bali ni s.w
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,233 Reaction score 26,753 Aug 26, 2013 #5 innocent salehe said: yeah ni kweli ndugu lkn mwenyezi mungu s.w.a hawez kukuepusha kama we mwenyewe binafsi hujisaliii Click to expand... mmmhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
innocent salehe said: yeah ni kweli ndugu lkn mwenyezi mungu s.w.a hawez kukuepusha kama we mwenyewe binafsi hujisaliii Click to expand... mmmhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
CHAMVIGA JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 7,687 Reaction score 2,240 Aug 26, 2013 #6 BASIASI said: Mola tusaidie ulakucha mae kanyi Click to expand... Hakuna fitina kubwa kama fitina ya kiumbe huyu mas-hidajal, hakuna fitina nzito kama ya uhai na umauti. Mwenyezi Mungu atukinge na makubwa hayo. Hizi za wanadamu ni za tangunatangu.
BASIASI said: Mola tusaidie ulakucha mae kanyi Click to expand... Hakuna fitina kubwa kama fitina ya kiumbe huyu mas-hidajal, hakuna fitina nzito kama ya uhai na umauti. Mwenyezi Mungu atukinge na makubwa hayo. Hizi za wanadamu ni za tangunatangu.