Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 282
Saa 1 jioni hadi saa 2:59 usiku, j3 mpaka IjumaaEmpire kipo lini na saa ngap
sawaXxl toka ameondoka bdozen hakuna kitu inaendelea pale ni kelele tu za mamy na meena ally mchomvu nae amekuwa mbatkaji tu bora alipokuepo b 12 kidgo userious ulikuepo now nimehamia the switch wako vizuri na clouds wasipokuwa makini pindi lao litafeli kabisa
kura imepokelewaAisee xxl bado n kipindi Bora Cha burudani, Tz[emoji119], achana na hao copy n paste[emoji706][emoji706][emoji57]
monday-friday.saa moja hadi tatu usikuEmpire kipo lini na saa ngap
Mbona vyote ni vipindi vya kijinga tu, ubishoo mwingi usio na sababu. Watu wanajilazimisha kuongea broken english ili waonekane black americans wakati wasikilizaji wao ni 100% waswahili, wapuuzi wote.Hivi ndo vipindi vikubwa vya burudani kwa sasa.
XXL-Adam Mchomvu,KenedyTheRemedy,Meena Ally,MamyBaby.cloudsfm
Empire-Bdozen,Jonijoo.Efm
The switch-Lilommy,ray,amygal.Wasafi fm
Kura yako inaenda wapi?