M MAYONCE2 Member Joined Dec 18, 2014 Posts 6 Reaction score 5 Dec 18, 2014 #1 Jamani xmass ndiyo hyo yaja lkn cha ajabu watu badala ya kupumzoka na wanaume zetu badala yake michepuko wanakuwa wanapata nafac hyo magest yatajaa watu watafumaniana jamani wanaume wetu tafadhari mwaka huu naomba iwe zamu yetu njia kuu
Jamani xmass ndiyo hyo yaja lkn cha ajabu watu badala ya kupumzoka na wanaume zetu badala yake michepuko wanakuwa wanapata nafac hyo magest yatajaa watu watafumaniana jamani wanaume wetu tafadhari mwaka huu naomba iwe zamu yetu njia kuu
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,458 Reaction score 986 Dec 18, 2014 #2 Ajajaja mbona unakanyaga waya bhana
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,458 Reaction score 986 Dec 18, 2014 #3 Ajajaja wew ulishanza kunakanyaga waya mapema
M MAYONCE2 Member Joined Dec 18, 2014 Posts 6 Reaction score 5 Dec 18, 2014 Thread starter #4 daud omar said: ajajaja mbona unakanyaga waya bhana Click to expand... hapana jamani inauma hatuna amani kabisa na ndoa zetu roho juu kwa ajiri ya michepuko
daud omar said: ajajaja mbona unakanyaga waya bhana Click to expand... hapana jamani inauma hatuna amani kabisa na ndoa zetu roho juu kwa ajiri ya michepuko
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,458 Reaction score 986 Dec 18, 2014 #5 MAYONCE2 said: hapana jamani inauma hatuna amani kabisa na ndoa zetu roho juu kwa ajiri ya michepuko Click to expand... Ucajali x-mass ya mwaka huu wababa wote tutakuwa tofauti
MAYONCE2 said: hapana jamani inauma hatuna amani kabisa na ndoa zetu roho juu kwa ajiri ya michepuko Click to expand... Ucajali x-mass ya mwaka huu wababa wote tutakuwa tofauti
M MAYONCE2 Member Joined Dec 18, 2014 Posts 6 Reaction score 5 Dec 18, 2014 Thread starter #6 daud omar said: ucajali x-mass ya mwaka huu wababa wote tutakuwa tofauti Click to expand... hahaha tunackilizia fumanizi tu cjui atakuwa wangu au wa fulani full pressure
daud omar said: ucajali x-mass ya mwaka huu wababa wote tutakuwa tofauti Click to expand... hahaha tunackilizia fumanizi tu cjui atakuwa wangu au wa fulani full pressure
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,458 Reaction score 986 Dec 19, 2014 #7 MAYONCE2 said: hahaha tunackilizia fumanizi tu cjui atakuwa wangu au wa fulani full pressure Click to expand... Ahahahaha ukiskia pah! tu ujue jirani keshanguliwa huko
MAYONCE2 said: hahaha tunackilizia fumanizi tu cjui atakuwa wangu au wa fulani full pressure Click to expand... Ahahahaha ukiskia pah! tu ujue jirani keshanguliwa huko
teetotaller JF-Expert Member Joined Dec 16, 2014 Posts 317 Reaction score 214 Dec 19, 2014 #8 kupumzoka au kupumzika????