ajajaja mbona unakanyaga waya bhana
hapana jamani inauma hatuna amani kabisa na ndoa zetu roho juu kwa ajiri ya michepuko
ucajali x-mass ya mwaka huu wababa wote tutakuwa tofauti
hahaha tunackilizia fumanizi tu cjui atakuwa wangu au wa fulani full pressure