Hey Jf members kwa wale WACHAGGA saa hv wanajiandaa na kujikataa katika area zao mbuzi wakutosha KISUSIO kwa wamachame! Nakwa wale WASUKUMA sa hv ndo makg ya mchele ndo wanunua! Je wapendanao vp? Utakuwa viwanja vp? Na WEWE KAMA MKRISTO UNAJIPANGE JE KATIKA MAISHA YA KIROHO?
ungeandika kitu kama hikiii Xmas is coming; are you prepared? Au Xmas is coming; get prepared! nafikiri ulikuwa una maanisha kuuliza kama tumejiandaa na Xmas.
Halafu kuna mahali nilisoma/kusikia unaposema x-mas maana yake upo kinyume na kristo na ni neno au msemo ulioanzishwa na freemasons ndiyo maana uovu mwingi unafanyika siku hiyo ili kuthibitisha uo u-anti christ. Wenye/mwenye uelewa zaidi anaweza kuelezea zaidi.