chollodehutch
Senior Member
- Jun 29, 2016
- 159
- 192
Mtafute mtu mmoja anaitwa chief mkwawa atakusaidiaHabar wadau wa JF.. Natumain wkiend imeendaa poaa ya sartdy... Shdaa yang n kwamba nime install pes game kwny pc yang lakn cha ajabu game limekataa ku run on window 7 nkifungua inanambia... XINPUT1_3dill is missing on your window please un stall progress to solve the problem?... Nshahangaika sana lakn sijapata mafanikio ya aina yyte mpk natoka jasho la meno.. Nawasilisha
sema mbona hiyo inakua ya kulipia, hakuna ya free ambayo naweza kufix dll files?Njia nyingine: download na install application ya dll file fixer premium (ipo pirate bay) alaf search hicho ki file kupitia hiyo application then download..over
Ipo pirate bay ya free hata mie nnayosema mbona hiyo inakua ya kulipia, hakuna ya free ambayo naweza kufix dll files?
Nitumie kwenye email basi? au haiwezekani??Ipo pirate bay ya free hata mie nnayo
Ni pm email yako tujarbNitumie kwenye email basi? au haiwezekani??
erickdonard@yahoo.comNi pm email yako tujarb
Chief-Mkwawa baada tu ya ku install direct x tatzo litakua limeisha au kutakuwa na progress zngne ambzoo sitozjua... Au vp?install direct x
yap litaisha, likija jengine ujue ni tatizo jengine sio hiloChief-Mkwawa baada tu ya ku install direct x tatzo litakua limeisha au kutakuwa na progress zngne ambzoo sitozjua... Au vp?
Mkuu na tatzoo lngne nime install fifa 16 kwny pc yang lakn linaitajii key sasaa hataa google sizipatii... Msaada tafadhaliiyap litaisha, likija jengine ujue ni tatizo jengine sio hilo
fifa16 halina crack, kama una hela nunua tu. kulikuwa na loop ya demo kuifanya iwe full lakini sijui kama bado hawajaizibaMkuu na tatzoo lngne nime install fifa 16 kwny pc yang lakn linaitajii key sasaa hataa google sizipatii... Msaada tafadhalii
Unaweza kuwaa na setup ya fifa 16 au 15 untmie kwny email yang plz mkuu?fifa16 halina crack, kama una hela nunua tu. kulikuwa na loop ya demo kuifanya iwe full lakini sijui kama bado hawajaiziba
huwezi ukatuma game kwa email ni makubwa sana. na game lisilo na crack LA kazi gani?Unaweza kuwaa na setup ya fifa 16 au 15 untmie kwny email yang plz mkuu?
Sawa mkuu nkipata shda nyngnee ntak chekiihuwezi ukatuma game kwa email ni makubwa sana. na game lisilo na crack LA kazi gani?
ingia oceanofgames.com utapata almost games zote