Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 473
- 297
Kaka na mm naomba bei za Mi4,Mi4i na Mi4cUnataka simu gani mkuu
Kaka na mm naomba bei za Mi4,Mi4i na Mi4cUnataka simu gani mkuu
Chief-Mkwawa tafadhali nisaidie namna ya kupata hii simu,(redmi 3)maana naona deogan amechemka
Nashukuru kwa kunisaidia maana bei ninazopata kwa sasa kutokana na uchache ni kubwa sanaila redmi note 3 ni better deal zaidi, sd 650 ni nzuri sana kwenye cpu na gpu inazipita hadi flagship za mwaka jana kama lg g4.
ila hata hio redmi 3 sio mbaya.
upatikanaji bado ni wa shida sababu ndo zimeanza kuuzwa china, si unajua xiaomi ataanza mambo yake ya flash sales kwanza kabla hazija enea. vuta subira kidogo
Redmi 2 prime utapata kwa 340000Mkuu Chief-Mkwawa
Uhitaji wangu ni simu yenye 2gb ram,prosessor ya snapdragon ,16gb rom,camera nzuri na dual sim,nilikuwa naifuatilia galaxy a5 lakini badget yangu imepwaya kidogo.vp nitapata simu gani nzuri ya 400000 yenye sifa hizo hapo juu
Unayo hiyo 2 prime?Redmi 2 prime utapata kwa 340000
Nahitaji hiyo mkuu inaweza patikana na malipo ni baada ya kupokea mzigo? Nipo songea kwa sasa.Kuagiza hiyo bado ni shida kidogo ila inaweza kufika 600000
Mim ninayo..nimeagiza had kufika imeni cost kama lak 4 na 90,npe hela kidogo nkuachie na box, receipt yake na vtu vyake na ni gold colorNahitaji hiyo mkuu inaweza patikana na malipo ni baada ya kupokea mzigo? Nipo songea kwa sasa.
Ingekua silver au Gray tungefanya biashara.Mim ninayo..nimeagiza had kufika imeni cost kama lak 4 na 90,npe hela kidogo nkuachie na box, receipt yake na vtu vyake na ni gold color
Umeagiza kwa nja gani mkuu!Mim ninayo..nimeagiza had kufika imeni cost kama lak 4 na 90,npe hela kidogo nkuachie na box, receipt yake na vtu vyake na ni gold color
Nimeagiza hapo Kenya kwa jiran zetuUmeagiza kwa nja gani mkuu!