Xiaomi Redmi 1s na Redmi 2 ni simu nzuri kama utaweza kuwashawishi wabongo watumie hii brand. Lakini kwa ujumla products za Xiaomi ni nzuri sana. Mimi natumia earphones zao za pistons, lakini pia wana custom rom inaitwa miui kwa ajili ya simu aina tofauti.
Biashara ni kujaribu ila ninaamini kwa wanaojua simu wakitumia simu za xiaomi kama hii redmi 1s, mi2, mi2s, mi3, mi4, redmi note na mi Note imetoka juzi hawatajuta. Ni rahisi kulinganisha na specifications zake.
Angalizo: Make sure unanunua kutoka kwa wakala anayeaminika, zipo fake.