Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,634
Kwenye hiyo order kwenye sehemu ya kuchagua kuna option nyingi za kuchagua bundle ya hiyo item, so hiyo USD 10 ni bei ya component moja tu ya hiyo mi band ambayo ni strap only, bila mi band, bei halisi ya hiyo tracker ni USD 27.For sure sina mda mref..Ndomana nimeiweka hapa...nataka unambie shida ya hii order
Ok nmekupata mkuu..ila embu ichek hapa nawewe....huez amini..jamaa hana option ya kuchagua bundles as if ni mi band 2 yenyew...hii imekaaje?Kwenye hiyo order kwenye sehemu ya kuchagua kuna option nyingi za kuchagua bundle ya hiyo item, so hiyo USD 10 ni bei ya component moja tu ya hiyo mi band ambayo ni strap only, bila mi band, bei halisi ya hiyo tracker ni USD 27.
Mbona ipo out of stock? Kuna walakin, lazma uangalie vizuri unaweza kulipia then bidhaa ikawa ni hewa, hiyo bei haiendani na thamani halisi ya bidhaa. Ebay scammers wengi.Ok nmekupata mkuu..ila embu ichek hapa nawewe....huez amini..jamaa hana option ya kuchagua bundles as if ni mi band 2 yenyew...hii imekaaje?
2017 Original Xiaomi Mi Band 2 Smart Wristband Bracelet Heart Rate Monitor Black | eBay
Bas scammers wa ebay wapo vizur..kias cha kupata feedback nzur na bado wakwa wahun kias hicho..pamoja boss nme unlock vitu kadhaa..Mbona ipo out of stock? Kuna walakin, lazma uangalie vizuri unaweza kulipia then bidhaa ikawa ni hewa, hiyo bei haiendani na thamani halisi ya bidhaa. Ebay scammers wengi.
Mzgo utaupata kweny posta iliyo karbu nawe...make sure unajaza adress yako kwa usahihi..hasa post code...hiyo standard shipping unalipia kias kdgo tu na mzgo unafka mapema kulko free shipingHII STANDARD SHIPPING INAKUWAJE MZIGO UTAUPOKELEA WAPI?
View attachment 737135
ASANTE MKUU NIMEELEWA SASA ILA HAUWEZI KUUTRACK MZIGO WAKO KWA HIYO NJIA?Mzgo utaupata kweny posta iliyo karbu nawe...make sure unajaza adress yako kwa usahihi..hasa post code...hiyo standard shipping unalipia kias kdgo tu na mzgo unafka mapema kulko free shiping
Unaweza...as long as umelipia shipping bas tracking number unapewaASANTE MKUU NIMEELEWA SASA ILA HAUWEZI KUUTRACK MZIGO WAKO KWA HIYO NJIA?
Umeipata tayari??wakuu mwenye hufaamu na kiifa iki naomba msaada pakukipata coz nimezunguka maduka mengi bila mafanikio View attachment 734213