Xi Jinping is a big China problem

kwani unataka aseme kile unachokiamini wewe, huo ndio ukweli na wala sio uongo hata kama ukiwaona wenzio mbuzi wew ukajiona binadamu lkn wao hawawezi kubadilika kuwa mbuzi na ukweli juu ya china ndivyo ulivyo.

Huwa unajisikiaje ukiingia China Social media na kuona jinsi wanavyowaita watu weusi "Black devils" , "Low IQ" , "Stinky" , "Poor with deseases"?.
Halafu hujiulizi wala kushangaa serikali yenye uwezo wa kufuta meseji huko kwenye mitandao yao maarufu kama vile weibo, na kwenye mitandao yao mingine iwapo meseji hizo zinaisema vibaya serikali ya China lakini inaacha meseji chafu na mbaya za ubaguzi wa rangi dhidi ya mtu mweusi ziendelee kubaki. Hujawahi kujiuliza kwa nini na unajisikiaje kuona meseji kama hizo?
 
Kama Haki zabina adamu wanao anza kuzikiuka hao wazungu walioziunda Wanaleta Mambo yaajabu wanaona ili haki yabina adamu iwe imekamilika eti mpaka ndoa zajinsia moja wamezifanya haki za bina adamu kama sio kuikiuka haki yenyewe ya bina adamu ninini ?

Kutokuamini dini kwamchina sio sababu sababu hata hao wanao amini Mungu wanaenda kinyume nahayo anayoyataka Mungu (Mungu aliruhusu ndoa zajinsia moja) sasa sibora ujue unatawaliwa na ambae hana dini kuliko anaejiita ana dini halaf anafanya upuuzi ambao hio dini inakataza

Hata US(SUPER POWER) yeyote hata itokee akawa TANZANI lazma aangalie maslahi unadhani bila hio status utakua super power US anatia vurugu katika mataifa yawatu kwasababu gani kama sio kutetea maslahi yake(pesa ikiwemo) US anasapoti tawala ngapi zakidiktata ulimwenguni kwasababu tu yakutetea maslahi yake wakati huo huo anajiita Mpenzi wademokrasia wakati tuliona Gadafi anaondolewa nakina (NATO) sababu ikiwa demokrasia nawakati huo huo anasapoti madikteta kuanzia UK SAUDI ARABIA QATAR UAE nakwengineko

Mchina aje asababishe KANSA kwasababu wakati yeye Sio SUPER POWER kulikua hakuna Kansa (Angalia Mateso wanayoyapitia Raia wa NAGASAKI na HIROSHIMA) unahisi yale yamesababishwa na MCHINA yale ?!

Hata sasa Angalia US anavyofanya Mataifa Yawatu Iangalie NORTH KOREA iangalie ZIMBABWE itazamke kwaumakini Mkubwa sana VENEZUELA Unahisi maisha wanayoyaishi bila tamaa na Ushenzi wa US wangeishi maisha yale ?!


Wakati unataka kungojea MCHINA aje kua super power ali awe anakufuatilia Hem Angalia US anadukua watu wangapi Ulimwenguni wakati Huu ambao yeye ni Super Power Tena maneno haya kayasema agen wao wenyewe Muasi Edward Snowden US ndio Taifa Linalo ongoza kufuatilia Taarifa zawatu bila kujua (ukiwa unaisuburia UCHINA ije iyafanye haya Tayari US ISRAEL UK nawengine wanayaendeleza Mbna Huyakemei ama huyasemi ?!)


Hao Tembo Nyati Wakati Huu Sio Super Power Anawaiba ama Anapewa Nawatawala Wamataifa Husika ?!


Bora taifa litakalotumia Kubrain wash watu ili kulinda status yake kuliko hili taifa Linalotumia Njia Ovu na Chafu zakuuwa watu kama lilivyofanya JAPAN Likaja likafanya VIETNAM Likaja Likafanya IRAQ Halikutosheka Likaenda likafanya Kama Hayo LIBYA halikutosheka Likatakakufanya Mfano wa Haya SYRIA linataka kufanya VENEZUELA Taifa Ambalo likipingwa kinatumia Kila aina yanguvu Kuwakomoa anaewapinga Kama VIKWAZO Nguvu Zakijeshi Namengineyo


US wacha atupishe tu kama uwezekano uje Awe SUPER POWER hata SPAIN UK GERMANY Tuone nayeye atakuja kutunyoosha kwanjia gani ila US Atuache Hatuwez Kuongozwa nababa anaepigia Chapuo wanawe kuoana wake kwawake waume kwawaume ni upuuzi na upumbavu

Halaf US wanafiq Sanaaaaaa.....

Sent using My COVID-19
 

My point was, Kutokupenda Mchina awe superpower simaanishi napenda USA awe superpower.

Unapoteza sana uelekeo wa mada kwa hoja za "Mbona na wengine wako hivi", Ukiugeuza huu mjadala kuwa ni kati ya USA na China unapoteza sana.

Kama chama cha Kikomunist kiliwatia njaa wachina zaidi ya milion 20 wakafa katika miaka ya 1950's na hakijawahi kuwaomba msamaha wachina unadhani kitajali juubya haki yako ya kuishi?

Idadi ya watu waliowahi kuuliwa na Wamarekani katika vita zao zote unazozijua haizidi idadi ya wachina waliokufa kwa sababu ya sera mbovu za Chsma cha Kikomunsti tangu kianzishwe!
 
Kutokuzidi idadi ya watu walouliwa na UCHINA dhidi ya US hakuupi uhalali wakuwaua watu kunako fanywa na US Nakama utakua Huitaki mbona utakua hutaki mjadala

kama unasema Xi nitatizo kwa CHINA wakati bado anawatawala ama anaitawala UCHINA wao wenyewe hawajui kama Xi nitatizo ?!

Wamefanya jitihada gani kuhakikisha yakwamba CCP na XI hawawatawali

Unapoteza maana yamjadala kwakutaka watu wachangie kama unavyotaka wewe Watu wanaishi huko UCHINA miaka namiaka wnayaona mabadiliko halafu wewe unakuja na hoja mfu

XI anaweza akawakweli wanamapungufu yao kama Viongozi wamataifa Mengine Ila Sio kama hawastahili kuwa Viongozi wadunia kwahoja zako

Kutokupenda MCHINA Kuwa Super Power Kuna Maanisha Unachuki Nao Hata Mimi Binafsi Sipendi UCHINA awe SUPER POWER ila Kwa Ushenzi Uonevu na UJANGILI wa US wacha MCHINA akaejuu nayeye tumuone.....

Sent using My COVID-19
 

Ubaya wa USA hauhalalishi Ubaya wa China.

Ukitaka kuizungumzia USA, Izungumzie USA kama USA.

Usiwe kama wale wasemaji wa Serikali ya China ambao wakiulizwa kuhusu mapungufu yao wanaanza kuzungumzia mapungufu ya USA
 
Ubaya wa USA hauhalalishi Ubaya wa China.

Ukitaka kuizungumzia USA, Izungumzie USA kama USA.

Usiwe kama wale wasemaji wa Serikali ya China ambao wakiulizwa kuhusu mapungufu yao wanaanza kuzungumzia mapungufu ya USA
Hakuna mwenye mabaya akakosa mazuri yake ila kuna mabaya kupitiliza kama alonayo US mfadhili wamagaidi mvurugaji wa amani katika mataifa yawatu mleta mapinduzi katika mataifa yawatu US bora tutawaliwe na Mataifa Mengine

Ila mwisho wao loading.....

Sent using My COVID-19
 

Sasa usichague kuliwa na simba au chui
Chagua kuwa huru dhidi ya ubeberu wowote
 
Sasa usichague kuliwa na simba au chui
Chagua kuwa huru dhidi ya ubeberu wowote
Unahisi ukiamua kuwa huru dhidi ya ubeberu wowote inawezekana MKUU ?!

lazma uupinge upande mmoja wa ubeberu wakati huo huo uukubali upande mmoja


Haimaanishi kama upande mmoja nimzuri sana kuliko mwengine ila walau ni afadhali kuzidi upande mwengine

Sent using My COVID-19
 
Well said barikiwa sana mkuu, wewe hapo upo jikoni kwa hiyo una uelewa mkubwa kuhusu kinacho endelea ndani ya Taifa hilo - tatizo la some members wa JF wsnekunywa naji ya bebdera ya USA eabacho fanya ni kurudia rudia skewed political rherotic zs Trump, Pompeo na Pence dhidi ya Uchina - wanayo zungumza hapa ni uzudhi mtupu husio kuwa na kichwa wala miguu.

Eamerika wanatishika kwa kasi ya ukuwaji wa Uchumi, kijeshi na teknolojia ya Taifa la China - come 2035 China ndio itakuwa inaongoza Duniani kiuchumi,kwa bahati mbaya Amerika haikati kukubali the inevitabke - ndio maana inatumia kila mbinu kuijumu China kiuchumi overtly and civertly mfano: kutusha tisha Dunia kuhusu vifaa vya mawasiliano vya makampuni ya Huawei na ZTE,kujaribu kutishia Mataifa yanayo taka kununua mfumo wa mawasiliano yanayo tumia teknologia ya 5G inayo undwa na Huawei Company, Amerika na Uingereza ndio yana fund vikundi vya kuleta vurugu huko Hong Kong.

Baada ya USA kuona mbinu zao za kuihujumu China zimeshindikana ndio wakaja na plan "B" wakatuma wanajeshi 350 China katika mjini wa Wuhan jimbo la Hubei kwenye michezo ya kijeshi, katika mashindano hayo hakuna mwanajeshi hata mmoja wa Merikani liye shinda medali! Kinyume chake Wachina wanasema Esnajeshi hao ea USA walionekana wanazurura aimlessly kwenye mitaa ya Wuhan - ndani ya mwezi mmoja tangu wanajeshi hao kuondoka Wuhan mji huo ukakumbwa na ugonjwa wa COVID-19,now a million dollar question is: was it a coincident - personally I dont think so. Kama sio busara za viongozi wa China kutambua mapema kwamba kwa mara ya kwanza katika historia ya Taifa lao baada ya Uhuru wamefanyiwa hujuma ya hali ya juu ya kuua mamia ya mamillion ya Wachina kama ugonjwa huo ungesambaa nchini nzima na Uchumi wa China ungeporomoka kwa kiwango cha kutisha - bahati nzuri Wachina kizingiti hicho wamekivuka/shinda.
 
naam UKUAJI wakasi yaajabu wa UCHUMI wa UCHINA ndio shida kwamabeberu WAKIZUNGU hakuna jengine.....

Sent using My COVID-19
 

Wachina wenyewe ndo waliutangazia ulimwengu kuwa kirusi kimetoka kwenye soko moja linalouza viumbe hai huko Wuhan, kama wamegeuza stori basi siwashangai maana ni waongowaongo, wanabadririkabadirika
 
Wachina wenyewe ndo waliutangazia ulimwengu kuwa kirusi kimetoka kwenye soko moja linalouza viumbe hai huko Wuhan, kama wamegeuza stori basi siwashangai maana ni waongowaongo, wanabadririkabadirika
Wachina wala hawaja badilika juu ya suala hilo msimamo wao kuhusu kiini cha ugonjwa(ugonjwa ulipo ripukia upo pale pale kwamba ni katika soko pale WUHAN) ila wanachosema wao nikwamba wanawatuhumu wanajeshi wa US yakwamba ndio waloleta VIRUS hizo zilizotokea huko US

US walipo ona wamepewa zauso nawao wakaanza kuja na hoja zao kwamba ni zimetoka maabara ya WUHAN ila walipo ambiwa walete ushahidi wakatoka NDUKI wakati Donald anasema yakwamba VIRUS ni CHINA MADE Jopo lawataalam Kutoka US wakiongozwa na Dr faustine(spelling naweza nikawa nimekosea) wanakanusha kwamba VIRUS hazijatoka Maabara Ikumbukwe Pia Jopo Majasusi wa US pia wanakanusha Kwamba VIRUS imetokea MAABARA pale WUHAN(HUBEI)

Sent using My COVID-19
 
Wachina wamekufa zaidi ya mamilioni ingawa wameficha data kuwazuga USA. Hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

1. Kuna tofauti kubwa kati ya kirusi kutengenezwa lab na kuleak from lab

2. Kuna ushahidi wa Kimazingira wa Kirusi kutokea maabara ya Wachina huko Wuhan, lwanza pale ndo tafiti za virusi wa korona waluo kwenye popo zilikuwa zikiendeshwa, Pili hatua za serikali ya China kuharibu ushahidi unaoiimplicate maabara ni kiashiria kingine, kwa mfano wameanza kufuta picha kwenye mtandao zilizokuwa zikionyesha mazingira ya ufanyaji kazi ndani ya hiyo Lab, Wameanza kuweka vikwazo kwa wanasayansi wa kichina wanaopublish paper kuhusu asili ya huyo kirusi

3. Serikali ya Kikomunist baada ya kubanwa internally na externally kuhusu asili ya kirusi ikaamua kutumia mbinu yake ileile iliyozoeleka kusingizia mataifa mengine kuwa ndo wanavirusi au wameleta virusi, Walijaribu kwa USA wakaona ngoma nzito, wakaanza kusema labda ulianzia Italy, Yaani hao wakomunist wanatafuta kujisafisha kwa udi na uvumba
 
Wachina wamekufa zaidi ya mamilioni ingawa wameficha data kuwazuga USA. Hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
US hawajafa ila Wanahali mbaya sana watatue tatizo waache kupiga kelele WUHAN wanapiga kazi kama kawaida sasa hivi wakati wao US ndio kwanza wanavutana vutana tu waache wahangaike tu [emoji14][emoji12][emoji14]

Sent using My COVID-19
 
1.leta tofauti.

2.Hakuna Ushahidi kama wanaushahidi walete ndio maana UCHINA wameweka wazi juu yahilo wanataka UCHUNGUZI huru Kwamataifa yote mawili wasilete ujanja ujanja

3.Ufanyike UCHUNGUZI HURU kama wanavyosisitiza wenyewe hatutaki blah blaah kama kaleta nani wala nani ufanywe UCHUNGUZI huru Wapande zote mambo yamalize

Kwan yale mambo yakupika data pale UCHINA juu yahali ya CORONA bado yanaendelea ama vp ?!

Sent using My COVID-19
 

Hawa ndo aina ya watu unaotaka wawe super power? - Hawa wakiwa super power utalimia meno wewe, Usiombee kabisa.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…