XGirlfriend wangu anamambo!!!!

Labda kuna kitu hujaweka wazi. Sijaona kitu kinachoitwa deni. Na kama msichana alitaka kutumia nguvu ya pesa kulinda penzi, basi wewe kaa kimya kabisa.

Ikiwezekana mwelekeze kwa wakili mzuri ili awahi kufungua kesi!
 
Unapenda mlima kitonga dogo?,harafu mpenzi hujamfahamu kiundani ushamtambulisha kwa ndugu wote?,wengine unamega kimyakimya tena viwanja vya ugenini....
 
Mlipe chake fasta haina ushauri dawa ya deni ni kulipa tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…