Xenon Bulb

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
2,050
Reaction score
1,469
Wandugu ninahitaji xenon bulb. Niko Dar. Mwenye kujua anifahamishe wapi nitapata. Ninapata shida ninapokuwa safarini. Ukiwa nazo unakuwa na uhakika wa safari za mikoani hata usiku unapopata dharura.

1) iwe ya aina hii

.

2) iwe ya aina hii

Nikipata nitashukuru nitakuwa na uhakika na saafari za usiku na nitaepuka manyanyaso ya njiani kutoka kwa madereva wajeuri wanaotumia vibaya taa. Wanawasha full hapa mjini kama wako polini wanawinda.

Nenda mtaa wa lumumba ziko nyingi sana zinategemea na ukubwa na ukali wa mwanga, bei zake zinaanzia laki na ishirini na nzuri ni philips na bosch ndio zinakuwa imara sana.
 
Nenda mtaa wa lumumba ziko nyingi sana zinategemea na ukubwa na ukali wa mwanga, bei zake zinaanzia laki na ishirini na nzuri ni philips na bosch ndio zinakuwa imara sana.

Poa nitafanya hivyo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…