Xbox One S imeng’ang’ania 480p resolution

king herode

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
368
566
Hello,

Naombeni msaada wadau console yangu kuna mtu nilimuazima juzi kati anadai kipind anacheza ili zima na kuwaka hivi ghafla iko jitune kwenye resolution hiyo ya 480p toka hapo haijawahi kubadilika mm natumia 4k TV ila inashindwa kudetect imekomaa hapo hapo naomba msaada wakuu nimefanya setting zote imegoma
 
Unatumia waya gani? Hdmi? Umejaribu kubadili waya?

Hapa nna HDMI cable kama nne hv ila ni hizi za kawaida na nyngne ni ile iliyokuja na mashine sasa nyngne znakubali had 1080p afu picha inakuwa inacheza cheza na sauti inakata yaan hazitulii nikiweka ile cable iliyokuja na mashine yenyew picha na sauti inatulia kabisa ila ni kwny 480p nataka nikanunue HDMI cable mpya town ya 4K nijaribu kama itakuwa sahihi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom