Xavi Hernandez Vs Andres Iniesta

Kwa mimi Xavi ata wangekua watatu, hawanitishi kwakuwa akili ya xavi ni pass zaidi ila Iniesta huyu ni mtu hatari sana akiwa na mpira alafu anakuja golini kwako, maana anatizama pandezote na anatoa pasi, anauwezo wa kujitengenezea nafasi yeye mwenyewe na kufunga kwaujumla huwezi jua anatakakufanya nini.
Anamsemo kuwa akishika mpira huwa anamfata adui, adui aikiwa anajiandaaa na kufikiria afanye nn yeye ashapita tayari
 
We nenda kawaulize waspain kwanini wanamuita Xavi "el maestro " unajua maana ya el maestro!? Katafute ujifunze ndo utajua zaidi.

Xavi alishawai kupiga pasi zaidi ya 280 kwenye game moja hivi na kwenye takwimu zikaonesha amepiga pasi zote kwa usahihi. Yaani pass acurracy ilikuwa 100% maana kila pasi iliyopigwa imefika kwa mtu.

Hatari saana!
 
Hatari sana mkuu
 
Tumalize utata, unamkubali nani hapo kati ya hao mafundi wawili mahiri kuwahi kutokea katika akademi ya La Masia?
2732242_heroa.jpg
Xavi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawakubari wote. Ila Mreta uzi umekosea bwana. Ungemweka na gaucho kwenye hiyo list mana ndio level moja wote hao watatu.
Kuwa na heshima mkuu, hao jamaa kweli walijaaliwa vipaji vyao lakini ni utovu wa nidhamu kumweka Ronaldinho level moja na hao kina Xavi na Iniesta.
 
Kuwa na heshima mkuu, hao jamaa kweli walijaaliwa vipaji vyao lakini ni utovu wa nidhamu kumweka Ronaldinho level moja na hao kina Xavi na Iniesta.

Cjaanza jana kufatilia mpila.ivyo gaucho namjua vizuli,,,,top 5 yenyewe hayumo,,sasa umpange level moja na Messi maradona na pele si ni vichekesho jamani! Ndio mana nkasema gaucho level yake hao wawili.
 
Top 5 ipi ambayo ronaldinho hayupo unayoijua wewe mkuu sisi wengine tusiijue? Au mpira unafatilia peke yako?
 
Top 5 ipi ambayo ronaldinho hayupo unayoijua wewe mkuu sisi wengine tusiijue? Au mpira unafatilia peke yako?

Aya weka iyo top 5 yako niione, tatizo mna mpamba sana uyu mtu ila hakuiletea mafanikio yoyote tim barcelona zaidi ya kurukaruka tu uwanjani na kutikisa mitako. Messi ni m2 wa kazi anae2mia hakili nyingi uwanjani,tena kuwa na heshima kumfananisha Messi na vi2 vya kipumbavu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom