Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 206
- 699
Huu mfumo wake wakikuda hata Poter aliujaribu akafeli vibaya!Huyu kocha jau mfumo wa back three hauwezi kukufikisha popote hatuna beki bora wa kuendana na mfumo,ona sasa tunapigwa kama ngoma.
Mechi tano tumefunga goli 10-tumefungwa 12 .
Martinez anaonekana sio kipa bora kumbe beki zinavuja.
Alonso out
Daah! umenichekesha kweliyaani mpaka welbeck yuko Chelsea hivi hii ni nini?