Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,551
- 6,516
Wanaume tuna shida sana, hapa unapambania penzi.
Hizi meseji zake za lini? Kipindi kile au sa hivi?
Polee mkuuUzi mrefu..........
Za kipindi kile mkuuHizi meseji zake za lini? Kipindi kile au sa hivi?
Kivipi mkuuNi ngumu sana kumshauri mtu anaekaribia kufa
Duuuuh huyu Mtoto analalamika Maskini.
.. mwenye njaa na mwenye nyege.Ni ngumu sana kumshauri mtu anaekaribia kufa
Mimi upendo ulishakufa japo nilimuelewa sanaKwanza we unamaamuz gan tusije tukakushauri ukapige chini tukaonekana SI miyeyusho
Sijui ni kasi ya teknolojia au....ila sasahivi unaweza chat na mtu baadaye ukakuta msg zako zimegeuzwa meme za instaAf hii tabia ya kuonyesha chart sipendi basi. Tu
ACHANA NA HIYO MBUZI...Za kipindi kile mkuu