X wangu anataka turudiane

Mpe akuongezee mtoto mwingine uendelee kulea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yangu, mimi kwa ushauri wangu, mweleze kuwa una mtoto uone anasemaje baada ya hapo kama akiridhia kuwa nawewe kujali
 
Dada mimi kwa ushauri wangu mweleze kuwa una mtoto uone anasemaje, akikubali kuwa na wewe huku una mtoto, mpe sharti la kufunga ndoa kanisani akikubali funga ndoa kanisani ndipo mzalie mtoto wake, usimzalie mtoto kabla ya kufunga ndoa kanisani, itakua ni dhambi
 
Sababu zilizowafanya muachane ni zipi? Katika hizo sababu, ku ailoyobadilika..?? Kupitia hizo sababu ndo unaweza pata jibu kama umrudie au la..
Na vile vile, kama sababu zinaruhusu kurudiana, mueleze kuhusu mtoto na uone anasemaje..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…