x wangu anaomba nikamfanyizie jamaa yake wa sasa kisha turudiane

May b tu ukamchape jamaa wewe kakukosea nn?!wewe kama wewe

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wakuu,kuna hiki kisa cha ajabu,haka kademu nilikua nako kipindi tu nimeingia ubatani,kisha nilikaacha kwa ajili ya mizinguo ya wazazi wake nikaendelea na mitikasi yangu ya kusaka maisha.tulikua tunapendana sana na bado tunapendana toka tuachane,na huwa siku zote tunawasiliana vizuri tu,sasa leo kameleta mpya,kwamba jamaa kaliyekuwa naye baada ya mimi kukatosa naye amekaumiza kiaina,sasa sijui kamemfumania au vipi?sasa hapa kanataka kuniingiza mkenge nikamchape jamaa kisha ndio kakubali kunisamehe turudiane,wakuu bahati mbaya sina njaa ya wachumba ila tu napenda kuwa karibu na haka kabinti,hapa mtegoni kwamba nikamfyatue jamaa hilo halitawezekana,ebu naombeni ushauri nifanyeje hapo au nimshauri vp huyu x wangu?maana nakaonea huruma sana na nakapenda sana,yaani mpaka najiuliza ingekua bongo huyo jamaa kwakweli angekua pabaya,sio huku

Mkuu samahani

Yaani hata kuleta tu huo upuuzi wa x wako humu nakuona kama hamnazo

that woman is not even a human being, she is a devil

You shouldnt even be talking to her
 
wakuu,kuna hiki kisa cha ajabu,haka kademu nilikua nako kipindi tu nimeingia ubatani,kisha nilikaacha kwa ajili ya mizinguo ya wazazi wake nikaendelea na mitikasi yangu ya kusaka maisha.tulikua tunapendana sana na bado tunapendana toka tuachane,na huwa siku zote tunawasiliana vizuri tu,sasa leo kameleta mpya,kwamba jamaa kaliyekuwa naye baada ya mimi kukatosa naye amekaumiza kiaina,sasa sijui kamemfumania au vipi?sasa hapa kanataka kuniingiza mkenge nikamchape jamaa kisha ndio kakubali kunisamehe turudiane,wakuu bahati mbaya sina njaa ya wachumba ila tu napenda kuwa karibu na haka kabinti,hapa mtegoni kwamba nikamfyatue jamaa hilo halitawezekana,ebu naombeni ushauri nifanyeje hapo au nimshauri vp huyu x wangu?maana nakaonea huruma sana na nakapenda sana,yaani mpaka najiuliza ingekua bongo huyo jamaa kwakweli angekua pabaya,sio huku

hizo rangi hapo juu ni majibu tosha nainaonekana unakatongoza tena halafu unasema huna njaa ya mademu..
 
hako kademu kanataka uende segerea wakupige bao za kutosha kama ulivyokapiga kenyewe bado kana hasira na wewe mkuu kaa nako mbali
 
hizo rangi hapo juu ni majibu tosha nainaonekana unakatongoza tena halafu unasema huna njaa ya mademu..

sikatongozi ila tu ni marafiki still niliachana nae miaka mi3 huko nyuma,na niyeye alieomba samahani kwa yaliyotokea nikubali tu japo tuendelee kupiga storo
 
Acha ujinga, kama kweli ulikapenda kwanini ulikatema? Stori yako imekaa kizushi zaidi
mkuu nimesema nilikatema sababu ya dharau za wazazi wake walikua wakabila mno na walikuwa wanaingilia sana uhusiano wetu
 
yaani mpaka najiuliza ingekua bongo huyo jamaa kwakweli angekua pabaya,sio huku

Huko uliko huwa wanafanyeje?umejaribu kuwaomba ushauri?
sheria ndugu,bongo unachapa kisha obey unakata supu unatoka
 
ndi mana nimeleta uzi wakuu,jambo alioniambia huyo mtoto hata mimi limenishangaza sababu sijaelewa amejifikiria nini kuniambia hivyo
 
mkuu nimesema nilikatema sababu ya dharau za wazazi wake walikua wakabila mno na walikuwa wanaingilia sana uhusiano wetu

acha ujinga bwana mdogo unajua meaning of love wewe achana na huyo mwanamke kuna maisha baada ya mpz kuwa makini hakuna mpz hapo kwenye familia inayoingilia mahusiano ya watoto.
 
DAH kwa jinsi unavyomwita huyo binti, "ka".....
"KADONYO".....
Humthamini hata kidogo...!!
 
wakuu,kuna hiki kisa cha ajabu,haka kademu nilikua nako kipindi tu nimeingia ubatani,kisha nilikaacha kwa ajili ya mizinguo ya wazazi wake nikaendelea na mitikasi yangu ya kusaka maisha.tulikua tunapendana sana na bado tunapendana toka tuachane,na huwa siku zote tunawasiliana vizuri tu,sasa leo kameleta mpya,kwamba jamaa kaliyekuwa naye baada ya mimi kukatosa naye amekaumiza kiaina,sasa sijui kamemfumania au vipi?sasa hapa kanataka kuniingiza mkenge nikamchape jamaa kisha ndio kakubali kunisamehe turudiane,wakuu bahati mbaya sina njaa ya wachumba ila tu napenda kuwa karibu na haka kabinti,hapa mtegoni kwamba nikamfyatue jamaa hilo halitawezekana,ebu naombeni ushauri nifanyeje hapo au nimshauri vp huyu x wangu?maana nakaonea huruma sana na nakapenda sana,yaani mpaka najiuliza ingekua bongo huyo jamaa kwakweli angekua pabaya,sio huku

Labda mi huwa sielewi ww ndiyo ulikaacha tena ww ndy umejipeleka kuomba msamaha unapewa masharti unaanza kulialia!....
 
Back
Top Bottom