x wangu anaomba nikamfanyizie jamaa yake wa sasa kisha turudiane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

x wangu anaomba nikamfanyizie jamaa yake wa sasa kisha turudiane

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by babukijana, Sep 21, 2012.

 1. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  wakuu,kuna hiki kisa cha ajabu,haka kademu nilikua nako kipindi tu nimeingia ubatani,kisha nilikaacha kwa ajili ya mizinguo ya wazazi wake nikaendelea na mitikasi yangu ya kusaka maisha.tulikua tunapendana sana na bado tunapendana toka tuachane,na huwa siku zote tunawasiliana vizuri tu,sasa leo kameleta mpya,kwamba jamaa kaliyekuwa naye baada ya mimi kukatosa naye amekaumiza kiaina,sasa sijui kamemfumania au vipi?sasa hapa kanataka kuniingiza mkenge nikamchape jamaa kisha ndio kakubali kunisamehe turudiane,wakuu bahati mbaya sina njaa ya wachumba ila tu napenda kuwa karibu na haka kabinti,hapa mtegoni kwamba nikamfyatue jamaa hilo halitawezekana,ebu naombeni ushauri nifanyeje hapo au nimshauri vp huyu x wangu?maana nakaonea huruma sana na nakapenda sana,yaani mpaka najiuliza ingekua bongo huyo jamaa kwakweli angekua pabaya,sio huku
   
 2. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 666
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 180
  Acha ujinga, kama kweli ulikapenda kwanini ulikatema? Stori yako imekaa kizushi zaidi
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Kuna watu na viatu kweli.
  Kuongoka ni hiari ila kutubu ni lazima.
   
 4. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ushasema huna njaa ya wachumba na pia huwezi pigana kwa ajili ya shori..sasa ushauri gani tena unataka??
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  una miaka mingapi mkuu?
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ukishamfanyzia wa sasa, wewe nani atakufanyizia zamu yako ya kufanyiziwa ikifika??

  Hivi, hwa ndio watoto wa kiume tunaowalea majumbani kwetu? Kweli vila viroba vya mchele vinapotea bure.
   
 7. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nenda urudi na jicho moja alafu uone kama katakukubali alafu inaelekea una li mwili likubwa ndo maana umeletewa tenda ya kitahira.Je huyo unaeenda kumpiga atakuwa amesimama tu na je unajua madhara ya ugomvi?
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hivi mtu kweli mtu anaweza kujiamini kwamba atampiga mwingine!!Kumbuka Daudi na Goliati
   
 9. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwanza kwanini utumie neno 'ka' kwa hiyo kama ingetokea mkaoana utakua unasema ka mke kangu! then unatuambia unampenda sana! kwa hiyo ili mrudiane lazima mtu apigwe hapo, ndo ushauri uliopewa huo...just find sme books n read
   
 10. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  wewe mleta uzi ni mtu mzima kabisa, hakukuwa na haja ya kuandika huu uzi! server inakua overloaded kwa vitu ambavyo havina maana kabisa..
   
 11. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Unampenda bado........nenda gym kwanza halafu pita kwa Kinyogoli upate skills za jeb mbili tatu ili umvamie vizuri huyo jamaa...................Ila ukidundwa sipati picha!!!
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  eti haka ka demu lol
  halafu kanakutuma ukafanye ugomvi na wewe unakuja kuomba ushauri?

  je angekuwa mwanamke kweli?
   
 13. N

  Neylu JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hahahaaa...
   
 14. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  yaani mpaka najiuliza ingekua bongo huyo jamaa kwakweli angekua pabaya,sio huku


  Huko uliko huwa wanafanyeje?umejaribu kuwaomba ushauri?
   
 15. Root

  Root JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,308
  Likes Received: 13,017
  Trophy Points: 280
  Hee ukiua atakusaidia kukaa gerezani? Hebu kumbuka amri za Mungu kabla hujafanya hivyo pili fikiria kama ni vizuri,inafaa,ni njema,vipi kama ni.wewe ungekuwa unafanyiwa hivyo?
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tumia kichwa(ubongo) kifikiri usikifanye cha kufugia nywele tu,ndio maswali gani hayo?
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Hizi nyuzi nyingine?
   
 18. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  hapo chacha!
   
 19. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  tuichakachue!unaonaje?hebu leta topic ya leo mwanafunzi wangu?wapi Asprin ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  we acha tu!
   
Loading...