pastor muyamba
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 252
- 135
Kumbe eehX hiyo ni jina la mtu
au mitakataka ??
kama anakujibu kwa mkato maana yake usimuulize swali
Kinacho niuma SNA mtoto,nafka.mahali akili inachoka najiuliza namtafutia na Mali ?naumia kweli mkuu hata sjamkosea lakini matumizi anataka nimpe!Lets get things clear first. Why are you asking your ex about her pregnancy.
Pia kumbuka watu wengine hawawezi kuwa peace na wapenzi wao, hata kama waliachana bila shari. So usishangae your ex kukujibu ovyo. Mpotezee.
Kwani mwanamke yupo mmoja?Kinacho niuma SNA mtoto,nafka.mahali akili inachoka najiuliza namtafutia na Mali ?naumia kweli mkuu hata sjamkosea lakini matumizi anataka nimpe!
Kwahiyo huyo mwanamke ana mtoto wako, ndo unachotaka kusema.Kinacho niuma SNA mtoto,nafka.mahali akili inachoka najiuliza namtafutia na Mali ?naumia kweli mkuu hata sjamkosea lakini matumizi anataka nimpe!
Hana mwanangu,zmeharibika mimba 2,now nikiuliza VP mimba IPO ama!hataki kusikia habari za mimbaKwahiyo huyo mwanamke ana mtoto wako, ndo unachotaka kusema.
Kwasasa kama hataki kujihusisha na wewe muache, ila endelea kuhudumia kama kawaida. She is the mother of your child kwahiyo vumilia tu, jishushe. Mwambie unahitaji kuwa katika maisha ya huyo mtoto, kwahiyo haitakuwa vizuri mkigombana mara kwa mara. So unaomba muweke pembeni tofauti zenu for the sake of the child. Hata kama mahusiano yenu hayatukuwepo kama zamani.
Ila usimuendekeze, lasivyo atakupelekesha.
Dah sasa kama hana mimba, wewe unastress nini. Mimi nimeandika nikijua kuna mtoto anahusika.Hana mwanangu,zmeharibika mimba 2,now nikiuliza VP mimba IPO ama!hataki kusikia habari za mimba
Tatzo kupenda kdogo sijui bado ushamba mwingi,naingiaga miguu yote then kutoka ni shidaDah sasa kama hana mimba, wewe unastress nini. Mimi nimeandika nikijua kuna mtoto anahusika.
Kama ndo hivyo, kwa majibu yake tu huyo sidhani kama anamimba. Kama angekuwa nayo wala asingekuwa anakuzungusha hivyo kukwambia.
Sijui ndo umempenda au ndo kakujulia kukutega, ila move on with your life. Utapoteza muda wako na effort nyingi kwake, lakini it will be for nothing.
Hivi ni peke yangu ambae sjaelewa huu uzi ama ?Habari ya jioni wazee wenzangu......
X wangu zmeharibika mimba 2 mpaka sasa,hizi siku amekuwa MTU wa lawama sana
Hataki nimuulize kuhusu mimba anakuwa mkali,
Nifanyeje ili awe sawa?
Kila kheri
Ila pastor maelezo yako hayaeleweki/hayanyooki. Mimba 2 zimetoka, Halafu unamuuliza vipi mimba IPO? Hilo si swali LA kuuliza. Mimba huwa haifichwi. Kama anayo angekwambia. Na kutokana na historia mbaya ya kutoka kwa mimba, possibly unapomuuliza uliza unamuumiza kifikra. Swali la msingi kwako: unaelewa maana ya X? (naomba usichukizwe na swali langu)Hana mwanangu,zmeharibika mimba 2,now nikiuliza VP mimba IPO ama!hataki kusikia habari za mimba
Upendo ukizidi unakua utumwa utapata wa kukuzalia ucjitese bure rafikiKinacho niuma SNA mtoto,nafka.mahali akili inachoka najiuliza namtafutia na Mali ?naumia kweli mkuu hata sjamkosea lakini matumizi anataka nimpe!