inaonekana paragrafu ya tatu ya mleta sredi hujaielewa vizuri. hebu isome tena halaf ukuje tena tulisakate hili rumba heheheUmeongea nae ukajua kwanini alikudanganya kwamba hata kuwasiliana nae hataki huku anafanya kinyume cha alichosema??Usirukie kutaka ushauri kabla hujajua tatizo!Inawezekana huyo mwanaume anamsumbua..yani anamtaka kwahiyo amefanya hivyo ili ndoa isiharibike.Au hata anamtukana ila hataki kukuhusisha!Hizi zote ni assumption..nakushauri utafute jinsi ya kumuuliza mkeo taratibu ili akwambie kulikoni.
anaza ndoa viktim. hehehe mkuu mbona hapo ukweli upo wazi labda uamue kuufumbia macho tu.
mjomba! unat.o.m.b.e.w.a mkeo kirahisi.
inaonekana paragrafu ya tatu ya mleta sredi hujaielewa vizuri. hebu isome tena halaf ukuje tena tulisakate hili rumba hehehe
Wewe pia rudia kiporo chakohiyo ndio staili ya siku hizi mwanangu. Usiumize kichwa mimi ma fiance alimfuta X wake na kuniambia mabaya mengi tu recently nimegundua yumo ndani ya phonebook kwa jina badala ya Bonaventure anaitwa Baina. Nikathink twaisi mh nikampm wa enzi akarespond nikamsevu kama ex love. Hapo tatu tatu. NDIVYO upepo wa mahusiano ulivyo.