X (twitter) wameondoa mahudhui ya porno/ngono kwa wanaotumia VPN zinazosoma hosts mataifa ya Ulaya na U.K

X (twitter) wameondoa mahudhui ya porno/ngono kwa wanaotumia VPN zinazosoma hosts mataifa ya Ulaya na U.K

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
8,102
Reaction score
23,690
Kuondolewa kwa chudai ni kutokana na EU na UK kutaka age verification kwa watumiaji, hivyo wamepiga kufuli au censorship kwa mahudhui yote ya ngono.

Majanja wa Ulaya na Uingereza wamekuwa waraibu wa porno kwenye X (twitter)

Kwa wale wapenzi wa video za kirumi au pilau, watasha wanaita adult content unachotakiwa ingia VPN kwenye setting badili jina la nchi linalo host VPN yako lisiwe taifa lolote la Ulaya au UK.

Utaendelea kupata huduma zako na pages zako zote za kirumi zitaendelea kuplay vichupa.

Porn is a destroyer of sexual life
 
Porno sio nzuri mambo ya kwa mpalange na kuzibua mitaro yamechangiwa hasa na porno kwenye jamii zetu

Wanaume hawaridhiki na wake zao kwa sababu wanataka wawafanyie wanawake wanayoona kwenye porno

Wanawake nao wanataka kujaribu wanayoona kwenye porno.

Kuna nyuzi kadhaa humu JF wanaume wanalalamika wanawake wanawataka wanaume wawaingilie kinyume na maumbile
 
Hii ni kutokana na EU na UK kutaka age verification hivyo wamepiga kufuli au censorship kwa mahudhui yote ya ngono.

Majanja wa Ulaya na Uingereza wamekuwa waraibu wa porno kwenye X (twitter)

Kwa wale wapenzi wa video za kirumi au pilau, watasha wanaita adult content unachotakiwa ingia VPN kwenye setting badili jina la nchi linalo host VPN yako lisiwe taifa lolote la Ulaya au UK.

Utaendelea kupata huduma zako na pages zako zote za kirumi zitaendelea kuplay vichupa.

Porn is a destroyer of sexual life
Wakongwe wa kujikula wanatoa huduma kwa wenzio
 
Kwa ujumla Twitter ni ya ku burn mazima isiwepo nchini sijajua kwa nn bado ipo Ile ni porn site kabisa
 
Video za pilau zinawaharibu watu kisaikolojia, mtu anajiona hafai wakati kumbe wenzie Wana records video kwa siku kadhaa alafu wanaunganisha then unaona mtu anashughulika kwa dk 50 au masaa kadhaa kumbe ni kitu kimerekodiwa kwa siku kadhaa
Na wenzake wanalipwa, yeye anajiumiza na kujiharibu kwa kutumia mdindadindaa au viagra
 
Back
Top Bottom