Penny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 575 Reaction score 52 Dec 19, 2009 #1 Jamani za leo, Napenda kuomba kama JF mnaweza kutuwekea x-mas carrolz tuweze burudika moja kwa moja thru hapa. Natanguliza shukrani zangu kwa niaba ya wenzangu watakaopenda pendekezo langu.
Jamani za leo, Napenda kuomba kama JF mnaweza kutuwekea x-mas carrolz tuweze burudika moja kwa moja thru hapa. Natanguliza shukrani zangu kwa niaba ya wenzangu watakaopenda pendekezo langu.
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,788 Dec 19, 2009 #3 UPO KWELI Penny? Hata Salamu? By ze way, asante kwa kuwakumbusha hawa wakuu!
Penny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 575 Reaction score 52 Dec 19, 2009 Thread starter #4 PakaJimmy said: UPO KWELI Penny? Hata Salamu? By ze way, asante kwa kuwakumbusha hawa wakuu! Click to expand... Nipo baba, jamani PJ samahani kama sijakusalimu...ehe mambo vipi, waendeleaje na maisha babangu. Mimi nipo ndo kama hivi leo niko hewani...nikaona niwakumbusha waungwana kama tunaweza kupata hivyo vitu maana ndo mda wenyewe huu. au sio!
PakaJimmy said: UPO KWELI Penny? Hata Salamu? By ze way, asante kwa kuwakumbusha hawa wakuu! Click to expand... Nipo baba, jamani PJ samahani kama sijakusalimu...ehe mambo vipi, waendeleaje na maisha babangu. Mimi nipo ndo kama hivi leo niko hewani...nikaona niwakumbusha waungwana kama tunaweza kupata hivyo vitu maana ndo mda wenyewe huu. au sio!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,824 Dec 19, 2009 #5 Penny said: Jamani za leo, Napenda kuomba kama JF mnaweza kutuwekea x-mas carrolz tuweze burudika moja kwa moja thru hapa. Natanguliza shukrani zangu kwa niaba ya wenzangu watakaopenda pendekezo langu. Click to expand... Ni kweli kabisa,maana huu ndo muda muafaka hasa.Hope mods wameliona hili na watalifanyia kazi,,,Pendekezo lako limepita mama
Penny said: Jamani za leo, Napenda kuomba kama JF mnaweza kutuwekea x-mas carrolz tuweze burudika moja kwa moja thru hapa. Natanguliza shukrani zangu kwa niaba ya wenzangu watakaopenda pendekezo langu. Click to expand... Ni kweli kabisa,maana huu ndo muda muafaka hasa.Hope mods wameliona hili na watalifanyia kazi,,,Pendekezo lako limepita mama
Penny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 575 Reaction score 52 Dec 19, 2009 Thread starter #6 Balantanda said: Ni kweli kabisa,maana huu ndo muda muafaka hasa.Hope mods wameliona hili na watalifanyia kazi,,,Pendekezo lako limepita mama Click to expand... Thanks beiberry, your encouragement is highly appreciated.
Balantanda said: Ni kweli kabisa,maana huu ndo muda muafaka hasa.Hope mods wameliona hili na watalifanyia kazi,,,Pendekezo lako limepita mama Click to expand... Thanks beiberry, your encouragement is highly appreciated.
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,557 Reaction score 2,538 Dec 19, 2009 #7 Mwaka huu ze kalaz hakuna wakuu! Kuna thread moja kule kwenye malalamiko, mratibu mkuu ameshasema kuwa hakutokuwepo na ze X-mas kalaz.
Mwaka huu ze kalaz hakuna wakuu! Kuna thread moja kule kwenye malalamiko, mratibu mkuu ameshasema kuwa hakutokuwepo na ze X-mas kalaz.
Penny JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 575 Reaction score 52 Dec 19, 2009 Thread starter #8 Kibunango said: Mwaka huu ze kalaz hakuna wakuu! Kuna thread moja kule kwenye malalamiko, mratibu mkuu ameshasema kuwa hakutokuwepo na ze X-mas kalaz. Click to expand... Asante kwa info Kibz, lakini ingependeza sana kama zingekuwepo yani, na x-mas ingenoga zaidi.
Kibunango said: Mwaka huu ze kalaz hakuna wakuu! Kuna thread moja kule kwenye malalamiko, mratibu mkuu ameshasema kuwa hakutokuwepo na ze X-mas kalaz. Click to expand... Asante kwa info Kibz, lakini ingependeza sana kama zingekuwepo yani, na x-mas ingenoga zaidi.