kitokololoo JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 704 Reaction score 821 Nov 27, 2018 #1 Wanazengo mpoo? Wagubi mpo? Shemegi yenu wa zamani watoto wa mujini wanapenda kusema X-Girlfriend kila akiniona anayepa hataki kabisa onana na mimi.. Hii maana yake nini wazoefu??
Wanazengo mpoo? Wagubi mpo? Shemegi yenu wa zamani watoto wa mujini wanapenda kusema X-Girlfriend kila akiniona anayepa hataki kabisa onana na mimi.. Hii maana yake nini wazoefu??
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,005 Reaction score 7,405 Nov 28, 2018 #2 ingawa hii sio thread husika mkuu.... But hapo kuna mambo Mawili Kwanza ameisha au kukongoroka so hataki umuone kwa kujua utamdhihaki pili huenda unamsumbua kumtaka mkuu
ingawa hii sio thread husika mkuu.... But hapo kuna mambo Mawili Kwanza ameisha au kukongoroka so hataki umuone kwa kujua utamdhihaki pili huenda unamsumbua kumtaka mkuu
Internal JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 3,579 Reaction score 3,926 Nov 28, 2018 #3 Humpagi hela/pesa
kitokololoo JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 704 Reaction score 821 Nov 28, 2018 Thread starter #4 Hivi inakuwaje mtu nimeandika tittle ya uzi wangu hivi halafu baaada ya muda naona tittle imebadilishwa lakini maidhui yale yale hii inakera
Hivi inakuwaje mtu nimeandika tittle ya uzi wangu hivi halafu baaada ya muda naona tittle imebadilishwa lakini maidhui yale yale hii inakera
sodoliki JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,593 Reaction score 2,019 Nov 28, 2018 #5 kitokololoo said: Wanazengo mpoo? Wagubi mpo? Shemegi yenu wa zamani watoto wa mujini wanapenda kusema X-Girlfriend kila akiniona anayepa hataki kabisa onana na mimi.. Hii maana yake nini wazoefu?? Click to expand... Labda una nchi 10 mtoto wa mwenzio hataki kukumbuka maumivu
kitokololoo said: Wanazengo mpoo? Wagubi mpo? Shemegi yenu wa zamani watoto wa mujini wanapenda kusema X-Girlfriend kila akiniona anayepa hataki kabisa onana na mimi.. Hii maana yake nini wazoefu?? Click to expand... Labda una nchi 10 mtoto wa mwenzio hataki kukumbuka maumivu
kitokololoo JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 704 Reaction score 821 Nov 28, 2018 Thread starter #6 Kweli mkuuu nina ukuni mkubwa sana